Mke wangu ameniudhi tena

Mmmh!! kazi kwel, ushauri wa familia unakukera, wajf unaufurahia. hapa tatizo naliona kwako, na namuonea huruma sana mkeo.

Hapana mpenzi ....suala la kumuhusisha baba mkwe silitaki coz i can manage my self...
And i feel baba mkwe atanidharau na kujua mambo yangu ambayo nilikuwa napanga kuwasuplies both maternal na paternal
 
Na sipo hapa kupata ushauri just kushare experience na kutoa taarifa tu.
 
mi nashangaa mwanaume mzima umeshindwa kuhandle mke wako, au yeye ndo anayekulinda na pesa kila kitu yeye ndo anashughulikia? maana sijawahi ona mwanaume mnyenyekevu hivi kwa wife ambaye hajisomi... Be a man acha utoto

Kwa kweli nahisi kushindwa but let me apply ukulya and i will do as u say...
 
Amekuhudhi tena! Mwambie asikuhudhi! Akikuhudhi tena nipe namba yake nimehambie asirudie kukuhudhi!
 
We mbona umelileta humu na wewe pia hujatulia ila inaonesha umeshaanza kuchepuka na unamtafutia kisa mkeo umdamp.

Sio kweli Mkuu nampenda sana mke wangu siwez kumfanyia hivo sema yeye ndio ananiudhi......
 
Kijana acha kutuchosha! inaonekana umekurupuka tu kuoa, hukumshirikisha hata babu zako! kwa maana nyingine ni kwamba jando hujaenda!
 
bora kuolewa na gunia la misumari...wanaume wengi mmekua na akili fupi..
aliona hauna uwezo Ndo maana kakutafutia msaada.
 
Kwa kweli nahisi kushindwa but let me apply ukulya and i will do as u say...

Hamna haja ya ukurya, mwanamke hapigwi sema ananyooshwa kiakili...she has to depend on you sio wewe kudepend kwake
 
Hapana mpenzi ....suala la kumuhusisha baba mkwe silitaki coz i can manage my self...
And i feel baba mkwe atanidharau na kujua mambo yangu ambayo nilikuwa napanga kuwasuplies both maternal na paternal

Sawa lakini jf si mahala salama sana kwa kuchukulia ushauri nyeti hawa wa ndoa, ndoa ni taasisi nyingine kaka inahitaji utulivu wa maamuzi, unajua ninachomaanisha
 
Mpeleke kwa Cheka akale ngumi za kutoshaa,
Halaf nawe punguza kulalamika khaa!!!
 
Ulikimbilia kuoa wakati hujajiandaa kisaikolojia sasa unalialia kwenye mitandao Kesho asipovaa pichu pia utakuja kuweka humu. huoni aibu. Watu hutaka ushauri wa mambo magumu si mke hajui kupika unakimbilia kutangaza

We itakuwa chizi kama si mwendawazimu....aliyekuomba ushauri nani kama sio nyege zako za kushadadia mambo ya jirani...ha ha ha
 
Kijana acha kutuchosha! inaonekana umekurupuka tu kuoa, hukumshirikisha hata babu zako! kwa maana nyingine ni kwamba jando hujaenda!

Sawa mi nmekurupuka lakini maisha yanaendelea....
Nmekuchosha kwani ulilazimishwa kupita hapa...ha ha ha
 
bora kuolewa na gunia la misumari...wanaume wengi mmekua na akili fupi..
aliona hauna uwezo Ndo maana kakutafutia msaada.

Halafu wewe mtoto jiangalieee ujue....bahati yako uko mbali....kauli hiyo hajapata kuitamka mwanamke yeyote ulimwenguni hapa kwangu....
Nngekushikisha adabu...shwaini.

Si alikubali kuolewa na mimi sasa kinachompeleka kwa baba ake ni nini ampe na vingine Basi.

Kauli kama izi ndio mnazidi kumchongea mwenzenu ili nmpe kipigo...
 
Kwa trend hiyo jiandae kupangiwa kila kitu na baba mkwe....ukizubaa utashangaa baba mkwe ndio "baba mwenyu nyumba" katika familia yako.KAZA mkuu kabla mambo hayajaenda mrama.
 
Huyo mkeo yupo humu?Na mfahidhina inamaanisha nini?

Mara nyingi MHAFIDHINA ni yule mtu mbishi, ama mwenye msimamo mkali ktk mambo yanayoaminika lzm kubadilika, yeye hubaki na msimamo wk kuwa mabadiliko No!
Mhafidhina unaamini kuhusu umuhimu wa vya zamani ama awali!
 
Nakubaliana na Daudi....ulichofanya wewe sawasawa na alichofanya mkeo, tofauti yeye siri kaiweka ndani ya familia , wewe umeilete mtaani...mtandaoni! ulishindwa nini kusort huko ndani kwanza...umemwambia mkeo hupendi hilo...umemwambia ba mkwe tatizo la mkeo kumuona yeye spiderman wake.....! dagaaa wanaleta acid sana tumboni...Gastrit!....all the best though.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…