Huu nao ni udhalikishaji wa hali ya juu. Mtu badala ya kuzungumza na kutatua matatizo ya nyumbani unayaleta barabani, huo na ni udhalishaji pia. Nampa pole mwanamke aliyeolewa na mume huyu.Juzi nilileta taarifa ya wife kutojua usafi na kupika dagaa kila siku nilipanga kumfungisha virago but kutokana na huruma ya wanajukwaa nimemuweka chini nmempa tuition na tumedraft ratiba ya chakula kwa wiki nzima nkamsamee.
Sasa kama wiki ya pili kuna suala ambalo tunalishughulikia kwa pamoja na nmemshirikisha wife kwa 100% ingawa mie ndio ninayeangaika nalo.
Wife aliponiudhi ni pale alipo mwambia baba yake yaani baba mkwe wangu,Jana amenipigia simu na kunieleza yale yote ambayo yapo mezani kwetu tuliyopanga na wife.....na amesisitizia ilo suala ni gumu na anajitolea kutusaidia..nilikosa jibu la kumpa na kuhisi wife amenidhalilisha
Ukizingatia mkwe wangu ni muhafidhina sana mpaka nahisi labda anaona mwanae hayupo eneo sahihi
Nmekasirika sana mpaka nahisi kukimbia kabisa nisionekane tena.
My take....wanawake msipende kushirikisha watu kwenye mambo yenu wawili hata kama baba ako ni tajiri ana uwezo wa kusolve iyo problem.
Natoa taarifa ya wife kuniudhi tena ndani ya 2015...over
Huu nao ni udhalikishaji wa hali ya juu. Mtu badala ya kuzungumza na kutatua matatizo ya nyumbani unayaleta [barabani], huo na ni udhalishaji pia. Nampa pole mwanamke aliyeolewa na mume huyu.
Mmmh!! kazi kwel, ushauri wa familia unakukera, wajf unaufurahia. hapa tatizo naliona kwako, na namuonea huruma sana mkeo.
Mke wako umemwambia hilo suala? na amekuambia sabab gani zimemfanya amwambie baba yake hili suala lenu? maana watu mmeweka mitandao kama sehemu ya kutatua matatizo yenu ya ndani yaani mtu kabla haujachukua hata hatua za kutatua tatzo unalileta huku muda mwingine ni kudhalilishana, maana yake hapo unamaanisha mkeo hana uwezo wa kutunza siri za ndani, pengine aliona hilo mnalotaka kufanya huna uwezo nalo ndo maana akaomba msaada kwa baba yake ili awasaidie kutatua kwanini umeshindwa kuiamini, kwani mkwe wako si mzazi wako kana kwamba pale mnapo kwama anashindwa kutoa msaada????
Hauja muelewa,
huyu hafai kua mke kabisa, ndio mana wanaume wanawaficha wake zao mambo nyeti sababu ni huu upumb.avu
Huyu mwanaume mwenzenu nae ni tatizo, vimambo vidogo vidogo ndio hadi alete jf, hawezi kuwa baba kama hawezi kuhimili vimambo vidogo vidogo, sasa yeye [anakimbilia jf], mkewe sijui kwao, hiyo nyumba mauzauza. kuna mambo mwanaume anapaswa kuamua kiume yeye kama baba. jifunzeni nyie watoto
Huu nao ni udhalikishaji wa hali ya juu. Mtu badala ya kuzungumza na kutatua matatizo ya nyumbani unayaleta barabani, huo na ni udhalishaji pia. Nampa pole mwanamke aliyeolewa na mume huyu.