Sikununu
JF-Expert Member
- Jan 27, 2015
- 341
- 101
Juzi nilileta taarifa ya mke wangu kutojua usafi na kupika dagaa kila siku nilipanga kumfungisha virago but kutokana na huruma ya wanajukwaa nimemuweka chini nmempa tuition na tume draft ratiba ya chakula kwa wiki nzima nikamsamee.
Sasa kama wiki ya pili kuna suala ambalo tunalishughulikia kwa pamoja na nimemshirikisha wife kwa 100% ingawa mie ndio ninayeangaika nalo.
Mke wangu aliponiudhi ni pale alipo mwambia baba yake yaani baba mkwe wangu,jana amenipigia simu na kunieleza yale yote ambayo yapo mezani kwetu tuliyopanga na mke wangu na amesisitizia ilo suala ni gumu na anajitolea kutusaidia.
Nilikosa jibu la kumpa na kuhisi wife amenidhalilisha, ukizingatia mkwe wangu ni muhafidhina sana mpaka nahisi labda anaona mwanae hayupo eneo sahihi.
Nimekasirika sana mpaka nahisi kukimbia kabisa nisionekane tena,my take wanawake msipende kushirikisha watu kwenye mambo yenu wawili hata kama baba ako ni tajiri ana uwezo wa kusolve iyo problem.
Natoa taarifa ya mke wangu kuniuzi tena,over 2015.