Mke wangu ameniomba nimtaftie mwanamume wa kumliwaza

acha kufikiria kuhusu wewe peke yako..
haya umfukuze mkeo na watoto wako je??
you are so selfish ....

kajipange tena kama hivi ndivo unavyofikiri

halafu inaelekea huyo mamako mshari sana...............hivi kumsababishia umwache mke uoe mwingine anafikiri anajenga au anabomoa?? mtafute baba yako umuulize kama huyo mamako aliishafanyiwa hayo anayofanya
asipokua makini atakupoteza
 
Nyie wanawake wa jf mnaweza kuwaambia waume zenu wawataftie wanaume wa kuwaliwaza?au mnaongea tu
 
huyu baba huyu..
he needs to grow up..

aamke kwenye hizo ndoto zake hizo
naanza kusimamia familia yake. yaonekana mke wake mpole
na ye anachukua advantage yake. angekutana na yule macheche
angeshika adabu yake....

yaelekea ni wale wanaume wanaopenda ku "ABUSE" wake zao.
 
halafu inaelekea huyo mamako mshari sana...............hivi kumsababishia umwache mke uoe mwingine anafikiri anajenga au anabomoa?? mtafute baba yako umuulize kama huyo mamako aliishafanyiwa hayo anayofanya asipokua makini atakupoteza
mama yangu hawez kunipoteza hata siku 1
 
Siamini kama ulicho andika umekiangalia.

Bira haibu unasema umekata huduma ya chakula cha usiku kwa mkeo! Unashindwa kukaa chini uka zungumza na mama yako na mkeo ukatatua tatizo unaona solution ni kumuadhibu mkeo.

Sidhani kama unampenda mkeo kwa dhati na wala hapo usimuingize mama yako wala hajakukataza kumpa mkeo haki yake.

Daaaah inasikitisha sana.

Kaa chini uongee na mzazi wako akueleze na baadae ongea na mkeo utapata jibu kisha mwisho wakutanishe wote umalize tatizo.
 
Nyie wanawake wa jf mnaweza kuwaambia waume zenu wawataftie wanaume wa kuwaliwaza?au mnaongea tu

ndio tunaweza sana..

ila sema mwanaume wangu kafuzwa na mamake vizuri.
haninyooshei kidole, kama amekasirika na kitu ananiita chumbani
tunayaongelea, hagombi mbele za watu, heshima kibao.

sintokaa, sintajaribu kumwambia kitu kama hicho sababu
tunaheshimiana sana..

em jaribu kumuheshimu mkeo, muonyeshe unampenda ,
onyesha upendo kwa watoto wenu.. Mi nakwambia
huyo mwanamke atakupenda , kukuheshimu na kukutunza
mpaka utashaa mwenyewe.. jaribu tu ..

Muhimu zaidi kama unatabia yakumpiga jamani naomba uache ....
 
Nyie wanawake wa jf mnaweza kuwaambia waume zenu wawataftie wanaume wa kuwaliwaza?au mnaongea tu

Sasa je!!!??
wewe unategemea kama hutimizi wajibu wako inakuaje??? tena una bahati huyo kakuambia ningekua mimi ningekufundisha kwa vitendo wala si maneno!!!
inaelekea wewe ni mnyanyasaji sana na mdhaalilishaji wa wanawake

Nakushauri kwa faida yako never use sex as a weapon - coz itakucost sana kurejesha mahusiano pale utakapokuja kushtuka toka huko ulikolala
 
Una chelewa nini? Si umtafutie,maana umeelianzisha.

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
nimpe upendo gani zaidi? Nimemjengea nyumba nzuri,gari nzuri ya kutembelea,chakula kizuri hakikosekani nyumbani,nini zaidi nimpe?
 
nimpe upendo gani zaidi? Nimemjengea nyumba nzuri,gari nzuri ya kutembelea,chakula kizuri hakikosekani nyumbani,nini zaidi nimpe?

kama ndivyo alifata kwako mpe!!! hayo mengine atapata wa kumliwaza tu
 
nimpe upendo gani zaidi? Nimemjengea nyumba nzuri,gari nzuri ya kutembelea,chakula kizuri hakikosekani nyumbani,nini zaidi nimpe?

Hapo ndipo unapokesea ..
nyumba, gari, chakula atc.. hivyo ni vitu
unavyompa girlfiend, partner etc..

mke anahitaji hivyo vyote na zaidi..

Muhimu kuliko vyote ni "MUDA" ..
unatakiwa utafute muda wa kukaachini na kuongea naye
mambo ya sasa, ya baadaye na yaliyopita.
unatakiwa ukaechini umsikilize kilio, kicheko, na kila kitu kwa ujumla.
unatakiwa utafute muda wa ku spent wewe na watoto.
unatakiwa utafute muda wa wewe na bibie tu " mambo ya kikubwa"
unatakiwa utafute muda wa familia kwa ujumla..

muonyesha unajaribi kuwa karibu naye pamoja na watoto.
vitu ni muhimu lakini Muda ndio wa muhimu zaidi..

kama unadhani upendo ni nyumba, gari na chakula fikiri tena.

swali la haraka Lini umemchukua mkeo out au umeenda nae mjini kwa starehe za wawili tu ??
 
My Friend be very careful na inakubidi uongozwe na hekima badala ya ulevi.Kwa mtizamo wangu mkeo amekupa ujumbe mzito sana na wewe umeuchukulia juu juu ukifikiria kuwa amekudharau au ni umalaya lakini si kweli amekukumbusha majukumu yako kama baba katika familia.Na ukweli huyo si mwanamke wa kumuacha na unatakiwa utakaporudi nyumbani umuombe radhi kwa uliyomtendea.Angekuwa mwanamke mwingine sasa hivi wakati wewe unachat na sisi hapa yeye ndio labda angekuwa anatoka kwenye mihangaiko yake na wala hana habari na wewe,TAFAKARI..
 
mwanamke aingie kwangu usiku huu si ninamng'oa meno yote ya barazani
 
mkuki kwa nguruwe mchugu

hata we umemdharau sana kwa kutomsikiliza na kuhamisha makazi bar.
yaonekana unependa kukimbia matatizo yako.

halafu unauliza maswali ya kipumbavu sana
eti nimzibue au nimfukuze.. shenzi sana wanaume kama nyie mfie mbali kabisa
bila hata ya aibu umetuma hii thread uko bar.

huyo mama huko nyumbani ndio anaowapikia hao wanao ,
amewalisha na kuwaweka kitandani we uko bar unawaza kumzibua
akili gani hii. huna aibu kabisa.

Afro d ndio leo una hasira hivi. Mzima weye lakini..saint ibuga alipgwa ban si unajua?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom