Mke wangu ameninyima haki ya ndoa

Mke wangu ameninyima haki ya ndoa

Mkuu hata ukiwa na pesa bila hayo mambo hamna chochote.

Wewe wasema....simaanishi umpe hela as in hard cash ila tumia hela kumpa vitu anavyovipenda au vitakavyomfanya afurahi.

Mara ya mwisho kumtoa mke wako out for a romantic dinner lini ?? Unamtoa out mkiwa mnakula fanya kama unamlisha a few spoons wit sincere love & affection. It will really turn her ON.

Zawadi unamnunuliaga ??

Ulishawahi onyesha kuwambuka wazazi wake ??

Bana we jua hela sio kila kitu ila hela ina nguvu (U don't have to spend millions to make a woman happy).
 
Solve your internal problems alone do not involve the public,since you are unlikely to get a proper solution mkuu.Pole sana
 
Pole sana ndo mvumiliane huku ukijipooza na michepuko huko mtaani kama hali hii akiendelea nayo na kama mnaishi kwa amani tu hakuna shida!
tafuta mchepuko wanasaidia sana katika nyakati ngumu kama hizo unazopitia halafu mchungue mkeo uenda kuna mechi anapiga nje ya uwanja wa home. Vituko kama hivyo ndio dalili halisi kuwa kuna mtu anamtimizia zaidi yako
 
Poa nitalifanyia kazi
 
We ndio unasema....sio umpe hela as in hard cash ila tumia hela kumpa vitu anavyovipenda au vitakavyomfanya afurahi.

Mara ya mwisho kumtoa mke wako out for a romantic dinner lini ?? Unamtoa out mkiwa mnakula fanya kama unamlisha a few spoons. It will really turn her ON.

Zawadi unamnunuliaga ??

Ulishawahi onyesha kuwambuka wazazi wake ??

Bana we jua hela sio kila kitu ila hela ina nguvu.
Najitahidi sana kumfanyia kila kilichondani ya uwezo wangu.
 
Hata Biblia inasema uwe na kiasi ktk mambo yote, sasa we unataka kila siku????? Mh!!!! Hivi hamuwezi kujizuia? Kumbe mke anapokua mjamzito huwa mnachepuka sana.
Hapana sifanyagi kila siku.
 
Hivi tokea 2010 umemuoa bado hujapata uzoefu wowote wa ndoa mkeo anakunyima papuchi unakuja kulia lia mbele ya umma?!!!!!
 
  • Thanks
Reactions: CMT
Kama kichwa cha habari kilivyo mke wangu anakataa kunipa tendo la ndoa bado sababu sijaijua ila kuna maongezi fulani niliyakumbushia ambayo yalishapita hapo zamani sasa sijui hiyo ndiyo sababu mana hata nikimuuliza anijibu juzi niliomba penzi akanipa kishingo upande ukweli sikuridhika jana ndiyo kaninyima kabisa ushauri nifanyaje mana mimi ni mume wake halali na yeye ni mke wangu halali.
Kamshitaki kwa baba yake. Kwani ndiye aliyekukabidhi.
 
Kama kichwa cha habari kilivyo mke wangu anakataa kunipa tendo la ndoa bado sababu sijaijua ila kuna maongezi fulani niliyakumbushia ambayo yalishapita hapo zamani sasa sijui hiyo ndiyo sababu mana hata nikimuuliza anijibu juzi niliomba penzi akanipa kishingo upande ukweli sikuridhika jana ndiyo kaninyima kabisa ushauri nifanyaje mana mimi ni mume wake halali na yeye ni mke wangu halali.

Kwani sabuni ya Revola shilingi ngapi?.
 
Wanawake wengi wamevunja ndoa zao kwa staili hii ya kunyima unyumba wenza wao pale wakosanapo wakijua wanamkomoa kumbe baadae inakuwa chanzo cha wanaume kusaka michepuko na baadae wanahama mazima et
 
Hata Biblia inasema uwe na kiasi ktk mambo yote, sasa we unataka kila siku????? Mh!!!! Hivi hamuwezi kujizuia? Kumbe mke anapokua mjamzito huwa mnachepuka sana.

Amtongoze tena hapa anakuja anasema ni mkewe kumbe upande wa pili ni hawara yake sasa kama anamnyima sisi wadau ndiyo tumlazimishe ampe? Mambo mengine siyo ya kila kinachotokea ndani ni kuleta uzi hapa akiri za kuambiwa uchanganye na zako.
 
Kama kweli ni mke wako wa ndoa hajui kuwa kwa kuto kukupa hiyo kitu anafanya dhambi,?Mkumbushe kuwa mkisha oana hiyo kitu hana mamlaka nayo.
 
Kama kichwa cha habari kilivyo mke wangu anakataa kunipa tendo la ndoa bado sababu sijaijua ila kuna maongezi fulani niliyakumbushia ambayo yalishapita hapo zamani sasa sijui hiyo ndiyo sababu mana hata nikimuuliza anijibu juzi niliomba penzi akanipa kishingo upande ukweli sikuridhika jana ndiyo kaninyima kabisa ushauri nifanyaje mana mimi ni mume wake halali na yeye ni mke wangu halali.
...mkumbushie pia unavyompenda na jinsi unavyomdhamini tokea siku ya kwanza ILA kama unampenda kweli sasa wewe unamkumbusha mabaya tu ulitarajia mbuzi ukimlisha sumu atatoa maziwa. Gabage In Gabage Out
 
Back
Top Bottom