Ngoja nikalete vitumbua[emoji468][emoji468][emoji468][emoji468]Chai
Lete best
Sio mke wako sema mume wako zuzu weweHabari wadau;
Mke wangu mdogo ananifukuza nyumbani.
Sababu ni kwa sababu nimemwambia mke wangu mkubwa mambo yake
Amenitishia kuniua kwa kisu kama sitaondokaa
Chanzo cha tatizo ni hiki
Huyu mke mdogo alisababisha nikaachana na mke mkubwa.Sasa tunaishi wote ila mimi sikutaka kumuacha mke mkubwa kwa sababu huyu mke mdogo ni kisirani.
Nimemruhusu atafute mume mwingine aolewe.Tatizo ni kwamba niliadili hilo swala na mke mkubwa na yeye akamwambia.
Huyu mwanamke nimezaa naye mtoto mmoja tu hana hata miaka miwili
Nataka kuondoka ila bado natafakari maana nikishaondoka huwa anaanza kunisumbua tena.Nimechoka sana
Nawashahuri muwe makini na wanawake wa aina hii
c&p
Rudi kwenu kamuulize mama yako " MIMI NI JINSIA GANI?'"Habari wadau;
Mke wangu mdogo ananifukuza nyumbani.
Sababu ni kwa sababu nimemwambia mke wangu mkubwa mambo yake
Amenitishia kuniua kwa kisu kama sitaondokaa
Chanzo cha tatizo ni hiki
Huyu mke mdogo alisababisha nikaachana na mke mkubwa.Sasa tunaishi wote ila mimi sikutaka kumuacha mke mkubwa kwa sababu huyu mke mdogo ni kisirani.
Nimemruhusu atafute mume mwingine aolewe.Tatizo ni kwamba niliadili hilo swala na mke mkubwa na yeye akamwambia.
Huyu mwanamke nimezaa naye mtoto mmoja tu hana hata miaka miwili
Nataka kuondoka ila bado natafakari maana nikishaondoka huwa anaanza kunisumbua tena.Nimechoka sana
Nawashahuri muwe makini na wanawake wa aina hii
c&p
Hiyo best utakunywa mwenyewe si kwa uchungu ule.