Mke wangu amenenepa mno

Mkulungwa01

JF-Expert Member
Jul 14, 2021
3,979
5,295
Shabaaaash! Habarini wanajukwaa.

Mke wangu ana muda usio mrefu tangu ajifungue na anakaribia kuacha kunyonyesha sasa kwani mtoto ameshakuwa mkubwa.

Tatizo ni kuwa nilimuanzishia diet ya kurudisha virutubisho kwani hili dume lilikuwa linanyonya mno so alipungua kiasi. Sasa amenenepa kuanzia matiti, na hasa makalio japo mwili wote kanenepa.

Jpili mchana tulikuwa home, kama ada, tukaanza kutaniana vizuri tu, tulikuwa on bed ila not for sex at that instant, kuna kitu nikamuambia akachukia japo utani, akanikalia, kutokana na uzito mkubwa sikuweza kuinuaka, nilikuwa napumua vizuri ila kujitoa ilikuwa ngumu.

Akaniambia "yaani leo nahakikisha nakutegua nyonga", nimemnukuu. Yaani kunenepa kwake anafanya ni kama silaha? Nikamlegeza kwa maneno matamu hatimaye akainuka. Neno lenyewe nililomuambia ni kuwa kanenepa mno atakuwa mzito kwenye sex.

Nimepanga kumfanyisha diet na mazoezi apungue kinguvu. Hivi vyakula gani ale? Ananisononesha mno huyu mama watoto wangu.!
 
Katika hiyo michezo-michezo ya kupimana nguvu mwenzako ndo anakufanyia mahesabu na kuchunguza kama kuna Siku anaweza kukubana kuikweliukweli, umesema leo alikukalia ukashindwa kuamka mpaka ulipotumia maneno katamu eeeeh?? We endelea ilu umtoe hali yoote ya kukuogopa.

Kuna Siku atakubana hivyo Kisha utabaki kusema "nikitoka hapa utanitambua" 😅
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…