Mke wangu amekutwa HIV+

Nilichogundua huyo demu anakupenda sana ndio maana akawa hataki mfanye ngono, asije akakuambukiza.

Pole sana mkuu hizo ndio changamoto za maisha. Shukuru Mungu uko salama.

Wataalamu nauliza, mtu mwenye HIV anakuwa na mapaja ya njano?
 
Nina mashaka na wife wako

"Eti nilijua umeniambukiza nikaamua kukaa kimya" Yaani uambukizwe alaf umnunie mwenzako?

Aisee Mkuu anakuchezea akili uyo

Ila tumia busura kweny maamuzi yako hasa Kwa maslahi mapana ya mtoto wenu
 
Hapa ndiyo unaona umuhimu wa uwepo wa imani za kidini hata kama hakuna chochote baada ya kifo. Neither heaven nor Hell.

Jamaa baada ya kupatwa na mshituko, hasira na hofu kakimbilia kanisani kwanza kwenda kujipa matumaini na kujituliza kidogo ingawa sala zake hazi muhakikishii kubadili tukio baya lililomkuta kifamilia.

Religions serves as placebos to the ones who are in need or in trouble, and for emotionally weak people.

Twendeni misikitini na makanisani wadau.
 
Pole sana
Ila na wewe ulikaa muda mrefu bila kushiriki tendo wakati ana mimba hiyo pia ni changamoto.
Kuna Rafik yangu mmoja alikuwa anamla dada wa saloon alikuwa ana mimba, mmeo mwenye mimba alikuwa ashiriki tenda kuogopa mimba isije kuaharibika.
Mdada anajipeleka mwenye kwa mchepuko wake, michepuko wanapiga kavu kavu wanawaamni sana wanawake walioolewa
 
Mkuu jaribu kupima tena,vipimo vya maana siyo hivi vya kujichoma ,pia kutokana na nature yako ya kazi uwezekano pia upo kwasababu we ni mtu wa masafa marefu bila shaka ni dereva na wengi wanakuwa na vituo vyao vya kujituliza ,jaribu kuwaza tangu mimba hadi mke amejifungua na mtoto ana mwaka we hujachepuka kweli? Jihakikishe kwanza halafu ufanye maamuzi ya busara ,mnaweza kuishi pamoja na kulea ila sex wekeni kando
 
tuliza moyo! Mungu atatenda! Dawa ua HIV haipo mbali itakuja na watu watatumia watapona
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…