Mke wangu amekutwa HIV+

Pole
 
kwanza mshukuru Mungu kuwa huyo mwanamke alipuepusha na balaa baada ya kujiona yupo+. cha muhimu piga chini, jipe muda tafuta mwingine maisha yaendelee.
 
inawezekana wewe kumuambukiza lakini wewe usiugue, hii hutokea endapo na endapo tu upo katika kundi la wati wachache ambao hawapati maambukizi kamwe. Pia sio jaribu kuangalia ukimwi hauwnezwi kwa Ngono peke yake . Nihayo tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…