Duh!!!juzi nilienda saluni kublow nywele zangu loh nikamkuta dada mmoja anasema eti kuna shosti yake kaja kwake nyumba yake imebomolewa sijui wapi .anakunya kinyesi kinanuka mtaa mzima.eti anaomba ushauri maana anajuta kumpokea blah blah kibao.yaani saluni wanawake wanaongea kila kitu.ukitaka kujua listi ya vibamia vya mtaa flani nenda saluni kila mbaba anajulikana na size na round zake .
Oh oo oo!!?
Ataenda fanya hayo na watu wengine kisha kwako atakuwa anafanya utakavyo, inasemekana wanawake ni super freaks beyond your imagination!Baada ya kuona mabadiliko ya uchezaji katika siku mbili tatu hizi, niliamua kumtilia shaka juu ya nani aliyemfundisha kwa kweli mpaka sasa hivi mapigo ya moyo nayaona yananidundia mgongoni kutokana majibu aliyonipa.
Mke wangu ni mstaarabu, kapata malezi ya kiafrika kutoka kwa bibi yake mpendwa ila kwa hicho alichonitendea lazima nimpe likizo fupi isiyo na fedha za matumizi. Hapa lazima niende pia kuliamsha dude kwa dada wa saloon aliyemfundisha mke wangu mambo ya ajabu, sikuwaza kabisa kama mke wangu angeniomba nimfanyie mchezo huo.
Hapana haikubaliki lazima nikamtie adabu huyo binti.
ila wanawake wa saluni wambea jamani sinaga hamu nao .mkuuu bwana mambo mengine ni kukaa nae mzungumze achana na kumrudisha kwao.. sababu ukirudisha ataenda fanywa huko tu
me sipatagi umbea naendaga saluni ya wahaya yani wanaongea kihaya na wateja wao ni wahaya.. nakosa umbeaila wanawake wa saluni wambea jamani sinaga hamu nao .
Ndio hapo wanaume wengine wana vituko sana utadhani huyo mkewe ni mtoto mdogo na unaweza kuta hao wadada wa saluni ni wadogo ila mkewe mtu mzima.Labda alijifunza ili akuridhishe wewe, nyinyi ni watu wazima kwani myaongee na mkeo, inabidi nini wewe kwenda kumuuliza dada wa saloon?