Mke wangu amebadilika sana

Maadam tabia zilianza baada ya kumuanzishia biashara ,basi huko ndio kwenye chanzo cha tatizo

1. Huenda kakutana na wanawake ambao ni wanaharakati wa 50/50 wamembadilisha mkeo

2. Huenda kuna mwanaume anamtia kiburi

3. Huenda vijihela vinamfanya ajione anaweza kusurvive bila wewe

Tume yako ya maridhiano ianzie kufanya uchunguzi huko
 
Ukioa mwanamke ambaye anajishughulisha na biashara mambo haya utakutana nayo.
1. Kuchelewa kurudi nyumban,

2. Kukosa muda wa sex na wewe

3. Kumheshimu mteja wake kuliko wewe,
4 . Kuwa busy na wafanyabiashara wenzake kuliko wewe.
5. Hakuna mawasiliano ya simu na wewe.

Hivyo kaa naye mpe nafasi ajieleze na wewe umueleze kinachokukwaza toka kwake. Halafu hyo biashara anayoimiliki hakikisha unai control wewe yeye anakuwa kama mfanyakazi tu.
 
Huyo mkeo amerudi kwenye default yake,huwezi kumbadilisha na pia ameshapa mtu anayemzagamua accordingly, unaposusa mbususu wenzako wakina sisi tunaendelea kuichapa wewe endelea kufua nguo, kupika pamoja na kuosha vyombo.
 
Rudisha kwao Mkuu , akajifunze kwanza akibadilika arudi
 

Wanamla Kaka, Kuna mtu kahamishia Heshima na utii wake huko!
 
Binafsi umeamua sawa ila hakikisha hujutii ulicho kiamua maana utaumia sana zaidi ila endapo utasimamia hapo niamini mm umetoboa. Wanawake hawana kitu cha ku tu offer sisi wanaume zaidi ya mbunye sasa ukisha isusa lzm ajione kenge hata kn kuna boya anacheza nayo
 
sjakurupuka nimejiandaa vema sn nmefanya tathimin kubwa kabla sjaamua, mpk sasa ameshaomba sn misamaha sjibu chochote katumia mpk sms sjbu, kaja live sjbu npo busy na mambo yng nataka ajutie sn.
 
Mi nadhani hatua ulizoanza kuzichukua ni stahiki na katika hayo uongeze mengine ya kumfanya ajione kima,likiwemo la kulala kwenye chumba cha watoto yeye mwache alale peke yake
 
sjakurupuka nimejiandaa vema sn nmefanya tathimin kubwa kabla sjaamua, mpk sasa ameshaomba sn misamaha sjibu chochote katumia mpk sms sjbu, kaja live sjbu npo busy na mambo yng nataka ajutie sn.
Good, nyapu ziko nyingi mnoooooo mzee wng km shida ni kusuuza rungu
 
Wanaume sikuhizi mnasusa wanawake tunasubiri. Mnasusa hadi K, yaani wanaume mmekua kama wote malastborn.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…