Mke wangu ameacha kutumia sindano za uzazi lakini hapati ujauzito

Ni miezi kama saba imepita tangu mke wangu aache kutumia sindano za uzazi but mpaka Leo hapati mimbaaa
mkuu tatzo kubwa kwako ni kuruhusu mkeo atumie sindano, kwa kawaida utumiaji wowote wa dawa ktk kuzuia mimba hupunguza uwezekano wa mwanamke kupata mtt kwa karb au chin ya 50%
hivyo kumfanya kuwa kwenye hatari ya kutokupata mtt, kuchelewa, kuwa na matatzo kwenye mimba n.k ila jambo la msingi ni hili tumia njia ya kawaida, ambayo mkeo huitumia kujua anaingia lin katk mzunguko wake wa mwezi,
hesabu siku za mwanzo 9, safe na 9danger na zilizobaki ni safe, zingatia huo mzunguko ni kwa wale wenye siku 28-30.. na wanaopata mzungukuko wao kila mwezi..

kinyume chake utalazim kuwa rafiki sana na mkeo ili ujue wakati upi ni mzr na wakati gani si mzr.

sasa ili utatue tatzo hlo, jambo la kwanza jilidhishe je kwel mkeo hatumii tena sindano? isije kuwa mmekubaliana ila yy anatumia, pili mbadilishie lishe, asitumie vyakula vyenye mafuta au vilivyo koborewa, mpatie lishe kamili ila kwa wastani, zingatia uzito wake na mazoezi ili kuweka mzenguko sawa..

mwisho jifunze kuwa kama hayo yote yatashindikana muone DR...
 
Back
Top Bottom