Mke wangu afariki akiwa bikra

2009 ndio ulikuwa kidato cha kwanza????? ahahahahahaaaaa mdogo wangu pole sana mweeeeeeee naona nazeeka sasa
 

...straight uwongo, naomba tarehe ya ajali na aina ya gari na eneo tukathibitishe hiyo ajali traffic police na hospitali, otherwise kauongo kepesi saaaaannnaaaaa....
 
hadithi nzuri kwa kweli..

kwa hiyo haukutaka kusoma advance level?
 
form six wote waliomaliza juzi wamejiunga na jamiiforum kazi tunayo mwaka huu. Alaumiwe mchina aliyeleta simu zenye internet kwa bei rahisi
 
Si ajabu wengine walikua wanajitafunia wanavyotaka alfu ww anakudanganya bikra.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…