Mke wako sio ndugu yako. Bali watoto utakaozaa naye ndio ndugu zako. Je, kauli kama hii ina ukweli wowote ndani yake?

Ushauri usiweke maneno unayoambiwa wewe ishi akienda mwache aende akibaki basi abaki.
Maisha ndio hivyo jaribu kumuwekea vyake nawewe uwe na vyako siku ikitokea kaenda basi dunia hii tunapita broo usiweke kila kitu akilini utachizika .
 
mtoto wako si ndugu!
angekua ndugu yako usingemla mamao
wewe unaweza kulala na mama wa ndugu yako?
sijui umenielewa?
 
Ushauri usiweke maneno unayoambiwa wewe ishi akienda mwache aende akibaki basi abaki.
Maisha ndio hivyo jaribu kumuwekea vyake nawewe uwe na vyako siku ikitokea kaenda basi dunia hii tunapita broo usiweke kila kitu akilini utachizika .
Leo umenena vyema.
 
Hata mm nilidhani hivyo mpaka nilipomtembelea mzee wangu nikamkuta akiwa na mke wake ambaye ni mama yangu. Wamebaki wawili tu, watoto wote hatupo.

Ntamthamini sana mke wangu, inawezekana katika uzee wangu yeye tu ndo akabaki na mm kama tutajaliwa maisha marefu.
 
Mke sio ndugu ndio maana mnaingia ubia kwa kusainishana na pia mkiachana mnavunja ubia. Watoto ni damu yako ndio maana hata kama mama yao ukumuoa akikushtaki mama yao unatakiwa utoe matunzo
 
Hapa sijakuelewa unataka maana ya kiswahili au vipi

Kiswahili ndugu maana yake ni mtoto mwenzako mliozaliwa baba, mama mmoja
Wanaextend wakati mwingine kusema ni ndugu wa mbali maana yake hamjachangia damu pamoja, ni mshitiri wa mbali kwa damu yako mfano mtoto wa shangazi au mjomba.

Maana nyingine ndo nadhani unatamani uijue ni uhusiano hakika na mkeo. Mkeo ni mtu wa karibu sana kuliko watu wote duniani ni zaidi ya ndugu yako, ni zaidi ya wazazi wako ni zaidi ya mwajiri wako.

Hivyo mke anacheza nafasi nyingi yategemea utamtengeneza vipi awe vipi.

Kumbuka ndiye atakayekuzalia watoto wako, sasa iweje anayekuzalia watoto wako asiwe ndugu harafu anakuzalia ndo wanakuwa ndugu zako?
 
cha kujiuliza cha kwanza ni
1.kama una dada je unaweza kulala nae na kumpitishia msopaganzi na kumpiga dog style au kumtia vidole kama jibu ni ndiyo basi mkeo nae atakuwa ndugu yako ila kama siyo hawezi kuwa ndugu yako
 
Unapopingana na JPM jiandae kujibu maswali yafuatayo kutoka kwa Watanzania UMEME: Ukipingana na JPM watanzania watakuuliza unataka tusipate umeme wa uhakika utokanao na Bwawa LA Nyerere yaani unataka tusipate megawati 2115 za umeme unataka tusiwavutie wawekezaji.
 
Back
Top Bottom