MzaramoTz
JF-Expert Member
- Dec 13, 2017
- 1,847
- 3,003
Labda isababishwe na mafuta ya vyakula lakini sio kidani changu cha moyoni, mahbuba, uaridi langu, pacha wangu kipenzi, L'aziz, Malaika wa nafsi hawezi wala haitakaa itokee nife kwa presha eti kisa yeye labda mavyakula haya tunayokula aisee.
😂😂😂😂