Kadhi Mkuu 1
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 17,112
- 18,507
Watu waache kutukana ovyo mitandaoni. Mtatukana baba, babu zenu.Shikamoo babu Pohamba, sikujua una umri huu.
Wasalimie Ilala
Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
Watu waache kutukana ovyo mitandaoni. Mtatukana baba, babu zenu.Shikamoo babu Pohamba, sikujua una umri huu.
Wasalimie Ilala
Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
Yeye NI wa dini hiyo ila kuandika ndo shida.
Baada ya ki edit unaanza kumuita mbugila?Povu la nini we mbugila
Hapo ni typing error
Ova
Wapemba siyo Wana CCM.Msiba Mkubwa kwa Wana CCM Wote Nchini
Allahu Akbar..... ukisikia madhilaa na malipo Duniani basi tafakuri sana....Allah amuweke katika Jannah, kweli kuugua sio kufariki. Pole kwa familia mama tulikuwa tunamuona anamuuguza mume wake kaondoka yeye kamuacha mume wake akiwa anaumwa. namfikiria ndugu yetu Salem Ahmed Salem na watoto wake. Mungu awape subra katika hili na wamshukuru Allah kwa kila kitu maana ndio hali halisi ya binadamu. kuondoka Mama katika nyumba sio jambo dogo.
yes, thats it.Jaji, Marehemu alikuwa Aunt wa Fatme Karume ?, tufafanulie Mkuu
RIP Mama Salim.Duh! Kweli kifo kinastaajabisha. Mumewe SAS ndiye alikuwa hoi bin taabani na yeye marehemu ndiye alikuwa akimuuguza hata alipolazwa hospitali kule London, UK. Kwa maneno mengine yeye alikuwa katika hali nzuri kiafya ukilinganisha na mumewe. Mwenyezi Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi na awape nguvu, subira na faraja wafiwa katika kipindi hiki kigumu kwao.
Haifunguki Mkuu
RIP Mama Salim.
Kulikuwa na kipindi cha Radio Tanzania Dar es Salaam kinaitwa "Pole". Cha kujulia hali wagonjwa. Nafikiri kilikuwa kila Jumapili kama sijakosea.
Wimbo wa kukitambulisha kipindi ulikuwa style ya zilipendwa moja hivi.
Mashairi yake yanasema.
"Ajuaye bwana mola, kwa mzima kuwa mfu, mgonjwa kuwa salaama, eeeeh, tunawapa pole".
Mgonjwa bado yupo, muuguzi ndiye kafariki!
Dah. Dr. Salim naye tumuangalie kwa karibu sana kipindi hiki mzee wetu.Niliwahi kusikia pia kwamba Wauguzi hasa kama ni mke au mume akiwa anamuuguza mwenzake mke/mume hali ya kumuona anateseka sana kwa ugonjwa huwaumiza sana wauguzaji na mara nyingi huwa chanzo cha kufa haraka. Kama utakumbuka yule Actor Christopher Reed aliyeanguka na farasi na kuvunjika mgongo hatimaye kupooza mwili mzima mkewe alikuwa na afya njema tu na hakuwa na umri mkubwa sana. Nilishangaa baada ya mumewe kufariki naye haukupita muda mrefu akafariki. Yeye ndiye aliyemuuguza kipindi chote na alianza kupoteza uzuri wake na kuonyesha usoni kukata tamaa ya maisha.
Sio kweliYeye NI wa dini hiyo ila kuandika ndo shida.
Mambo ya dunia ni kujilisha upepo tuzidi kupendana. Pumzika Kwa Aman MhKwa mshutuko mkubwa nimepokea habari ya kuondokewa na Bi Amne Rifai Salim, Mkewe na Mh Salim Ahmed Salim. Inna Lillahi Wainna Ilaihi Rajiiuun.
Angekuja kistaarabuBaada ya ki edit unaanza kumuita mbugila?
Hata mimi nimeshangaa.Mzee Baba kumbe tunakuchukulia poa tu. Chumvi umekula ya kutosha. Hongera sana
StaghafirruLLah..uishi miaka hiyo yote upate 3 au 4 only..?Watoto watatu, Maryam, Ali na Ahmed. Mmoja ni Dr of medicine.
Yule WA Karume.Kumbe yule mwingine ni majungu ya Chadema tu.