Mke wa rais ni First Lady, mume wa rais je?

Mke wa rais ni First Lady, mume wa rais je?

Mantombazane

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2014
Posts
579
Reaction score
367
Naomba kuuliza. Mke wa rais anaitwa First Lady. Sasa rais akiwa mwanamke mumewe ataitwaje?
 
First Gentleman, whether he is or not. An ex-president is always called "President So-and-so", so if Hilary Clinton is elected President, there will be two President Clintons in the White House. They will be referred to as President Bill Clinton and President Hilary Clinton according to custom, so it is not likely that Bill will be called the "First Gentleman" at all.
 
kabla ya yote naomba kujua maana ya jina lako
Ni jina lenye asili ya bondeni - Afrika ya kusini katika kabila la Zulu likimaanisha mafanikio - Success. Wanapewa watoto wa kike na kiume wanatumia kama ilivyo hapa kwetu kwa jina Bahati au Zawadi. Kama ni mpenzi wa muziki kule South kuna kundi la music la zamani sana likiitwa Soul Brothers. Hawa walitoa kibao kimoja kinachokwenda kwa jina la Mantombazane. Mkuu umepata shida kwenye matamshi au hizi herufi nilizo bold - Man-to-mba- zane?
 
Ntombeni
Jabulani
Lindiwe
Wandile
Vusumuzi
Ntombizanke
Ntombizanele
Thembisile
Nayapenda Sana Majina Ya Ki South Africa.
 
Back
Top Bottom