MKe wa Rais Magufuli akumbuke walemavu

kirengased

JF-Expert Member
Jan 10, 2016
6,260
6,992
Ni kawaida kwa Wake Wa marais kuanzisha taasisi za mfano katika kulisaidia taifa kwa kuzingatia nafasi aliyonayo.
Binafsi ningependa Madam Magufuli ajielekeze kwenye fani yake ya elimu na kuzingatia elimu kwa watu wenye ulemavu. Watuhawa wametengwa na wengi wamekuwa wakiteseka kwa kukosa shule zenyevifaa vinavyokidhi haliyao kimaumbile.
Kwaushawishi alionao Madam angeweza kushawishi wananchi kuchangia hili na tukapata shule za kuwawezesha watuhawa katika kila kanda hapa nchini. Elimu Yao iambatane na ufundi mbalimbali ili kurahisisha ajira zao hapo baadae.
Mimi ni wakima chachini lakini akikubali na kuanzisha ntamchangia milioni moja,makanisa pia na misikiti ijielekeze huko badala ya waubiri kuishi kifahari tuwakumbuke wenyeshida
 
Hata madame Salma alikuwa mwalimu lakini hukutoa hili wazo wakati unajua kabisa madame ana shule yake ya binafsi. Mama Magufuli ana kazi nyingi ukizingatia mumewe kafukuza wapishi na madobi huko ikulu, hili wazo apelekewe rais atajua utaratibu wa kuanzisha hizi shule. Serikali haitaki michango ya shule hii au umesahau?
 
Back
Top Bottom