Mke wa rafiki yangu ananitesa kwenye WhatsApp

Mke wa rafiki yangu ananitesa kwenye WhatsApp

mimi nakushauri nunua simu ya batan
(nokia tochi) Utashinda hilo pepo
 
Kwa maelezo uliyoandika kama jamaa yako au mkeo ni mpitaji wa huku ameshaelewa nini kinaendelea. Jiandae kujibu maswali au uvunjifu wa ndoa.
 
atakuletea matatizo makubwa sana uyo atakugombanisha na mkeo na rafiki yako pia achana nae mblock shetani uyo..
 
Achana naye kabisa.Acha acha achaaaaaaa.Kachukue barmaids kama una hamu ya kupata neno.
 
Mkuu na wasi wasi na wew kama sio wa mwanaume wa dar mkoani hawezi kuja kuli lia jf
 
NAWE UNA MATATIZO YAKO SAA SITA YA USIKU UPO NA MKEO BADO UNACHATI? KWA MSAADA ZAIDI MBLOCK TU
 
Salam ndugu zangu.

Nina rafiki yangu ambaye yeye anaishi na kufanya kazi Singida na mimi nakaa Mwanza. Hapa Mwanza yupo mke wake ambaye naye ni mfanyakazi wa benki. Kwahiyo, rafiki yangu huja Mwanza kumsalimia mke wake na kurudi zake Singida, anapokuwa Mwanza mimi ndiye kampani yake mwanzo mwisho. Tumeanza urafiki miaka 6 iliyopita kwahivyo familia zetu zimekuwa kama ndugu tu.

Sasa basi, huyu rafiki yangu anapokuwa hayupo (akiwa Singida), mke wake hupenda sana kunitumia threads, clips au picha zinazpashiria uvunjifu wa amri mojawapo ya vitabu vitakatifu. Anapenda sana kunitumia nyakati za usiku.

Nyakati zingine hujipiga picha akiwa kitandani na kunirushia zikiwa na ukumbe "karibu tulale". Video za kugegedana anapenda sana kunitumia.

Nimemkanya sana lakini haachi, mke wangu sijamwambia na siwezi mwambia kwani wataharibu uhusiano. Anaweza kunitumia video nyingiii, mimi simjibu hata moja lakini hakati tamaa.

Naombeni ushauri nifanye nini ndugu zangu,

Asanteni
hiz bahat mbona hazinidokei mola wangu...dahh mnanitia hasira nyie mnaokuja kuuliza vitu vya kututia hashki..kwanza ushambomoa unatutamanisha tu lione kwanza...kutudindisha tu
 
Hilo jambo nalo la kuomba ushauri!?Angekuwa siyo mke wa rafiki yako ningekwambia ujilie tu.Lakini usijaribu kabisa hilo suala.Kaa naye umuulize tatizo ni nini?Inawezekana ni mkusanyiko wa hamu ya muda mrefu.Sana sana mshauri jamaa amuhamishie demu wake huko alipo.
 
Wakati mwingine mume kuwa mbali ni changamoto sana kwa baadhi ya wanawake.
 
yeye hakutesi we ndo unajitesa unashindwa nini kumblock au unapenda unavyo tumiwa hzo pcha na video? maana mpaka unafungua wakat unajua anatumaga vitu sio ina maana unapenda .HEBU MBLOCK UKO[emoji34][emoji34][emoji34]
 
Kuwa makini akiona IMRO at as kabisa,anaweza mwambia Mme wake unamtaka ili kukuwahi usimwambie mmewe tabia yake,ila ukikubali hatamwambia, Sasa akili kwako
 
Salam ndugu zangu.

Nina rafiki yangu ambaye yeye anaishi na kufanya kazi Singida na mimi nakaa Mwanza. Hapa Mwanza yupo mke wake ambaye naye ni mfanyakazi wa benki. Kwahiyo, rafiki yangu huja Mwanza kumsalimia mke wake na kurudi zake Singida, anapokuwa Mwanza mimi ndiye kampani yake mwanzo mwisho. Tumeanza urafiki miaka 6 iliyopita kwahivyo familia zetu zimekuwa kama ndugu tu.

Sasa basi, huyu rafiki yangu anapokuwa hayupo (akiwa Singida), mke wake hupenda sana kunitumia threads, clips au picha zinazpashiria uvunjifu wa amri mojawapo ya vitabu vitakatifu. Anapenda sana kunitumia nyakati za usiku.

Nyakati zingine hujipiga picha akiwa kitandani na kunirushia zikiwa na ukumbe "karibu tulale". Video za kugegedana anapenda sana kunitumia.

Nimemkanya sana lakini haachi, mke wangu sijamwambia na siwezi mwambia kwani wataharibu uhusiano. Anaweza kunitumia video nyingiii, mimi simjibu hata moja lakini hakati tamaa.

Naombeni ushauri nifanye nini ndugu zangu,

Asanteni
Ushaur wangu mwambie mkeo kila kitu mjue mtafanyaj
 
Muoneshe mumewe, vinginevyo utabeba lawama kwa kila kitakachotokea.
 
Back
Top Bottom