Nipe namba yake
Yeah umemshauri vema sana mana hata nami nikawa nawaza mbona kila kitu kipo open kabisa sasa anaficha nini....!!!!!Alafu mkuu huu uzi umeweka details nyingi. "Embu edit fasta kabla watu hawajauona kwa wingi. Toa sehemu kama Singida, Mwanza, NMB nk ili watu wasiweze kuunganisha nukta! Mudi msaidieni huyu kiazi jinisi ya kuandika uzi bila kuhatarisha ndoa ya mwenziwe...
Acha Uboya Mdogo wangu MSWAGE huyo we vipi ungekuwa unaongea jirani na mimi ningekunasa vibao, unakuja hapa unalialia nini sasa.Salam ndugu zangu.
Nina rafiki yangu ambaye yeye anaishi na kufanya kazi Singida na mimi nakaa Mwanza. Hapa Mwanza yupo mke wake ambaye naye ni mfanyakazi wa benki. Kwahiyo, rafiki yangu huja Mwanza kumsalimia mke wake na kurudi zake Singida, anapokuwa Mwanza mimi ndiye kampani yake mwanzo mwisho. Tumeanza urafiki miaka 6 iliyopita kwahivyo familia zetu zimekuwa kama ndugu tu.
Sasa basi, huyu rafiki yangu anapokuwa hayupo (akiwa Singida), mke wake hupenda sana kunitumia threads, clips au picha zinazpashiria uvunjifu wa amri mojawapo ya vitabu vitakatifu. Anapenda sana kunitumia nyakati za usiku.
Nyakati zingine hujipiga picha akiwa kitandani na kunirushia zikiwa na ukumbe "karibu tulale". Video za kugegedana anapenda sana kunitumia.
Nimemkanya sana lakini haachi, mke wangu sijamwambia na siwezi mwambia kwani wataharibu uhusiano. Anaweza kunitumia video nyingiii, mimi simjibu hata moja lakini hakati tamaa.
Naombeni ushauri nifanye nini ndugu zangu,
Asanteni
Kula kiboga wewe...Salam ndugu zangu.

Identity gani hapo?! Hao wanaongelewa umewafahamu? Tuliza bongo buanaMbona unamwaga identity humu? Ndio urafiki ganiHuu..umeshindwa hata kujiongeza?