Mke wa mwanajeshi ananitaka kimapenzi

Mke wa mwanajeshi ananitaka kimapenzi

usiogope mkuu hata mke wa rais anachukuliwa na wajanja.
si kila mwanajeshi ni mtemi bali wengine ni mabaradhuli.
atakapogundua unamchukua mke wako tuletee mrejesho tafadhali​
Raisi wa wasafi au TFF?
 
Wakuu nimetoka kijijni wiki ilopita Kuja hapa mjini kusaka maisha lakini nimekupambana na kasumba 1 Kuna Dada fulani hapa mtaani mke wa mwanajeshi anaomba mahusiano na mimi.

Nimewahi kupitia jkt kwa kujibu wa sheria Maramba tanga Sasa wale jamaa walivyo na roho Mbaya si atanitafuna mzima mzima..

Nimemkatalia lakini haelewi eti mmewe yupo bize Sanaa.. So anakosa wa kujivinjari nae! Wakuu isije ikawa mtego! Ila condom box 4 Maana hapa mjini.

Sent using Jamii Forums mobile app
hata kama abgelikua mke wa muokota makopo mke wa mtu ni mke wa mtu usijaribu utauliwa
 
Af mbona wanajeshi ni maboya tu wakigundua wanasalitiwa huwa wanaishia kuumia tu
 
Wakuu nimetoka kijijni wiki ilopita Kuja hapa mjini kusaka maisha lakini nimekupambana na kasumba 1 Kuna Dada fulani hapa mtaani mke wa mwanajeshi anaomba mahusiano na mimi.
Nimewahi kupitia jkt kwa kujibu wa sheria Maramba tanga Sasa wale jamaa walivyo na roho Mbaya si atanitafuna mzima mzima..
Nimemkatalia lakini haelewi eti mmewe yupo bize Sanaa.. So anakosa wa kujivinjari nae! Wakuu isije ikawa mtego! Ila condom box 4 Maana hapa mjini.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwanajeshi ni mwanaume sawa na wewe, tafuta wa kwako mkuu.
 
BREAKING NEWS ...WAZIRI AFUMANIWA NA MWANAFUNZI GEUST
kijana mmoja kwa jina la waziri amefumaniwa na mwanafunzi wa shule ya sekondari ndani ya guest wakifanya maombi your reply...
 
Back
Top Bottom