Be Careful its very dangerous to date or having an affair with someones wife,just ignore any trapAlikuwa mpenzi wangu kabla ya kuposwa na kuolewa japo iliniuma sana nilisahau maisha yakaendelea.. Amejaaliwa kupata mtoto moja na maisha yanaendelea na mumewe... sasa siku hizi ameanza kamchezo kakutuma txt..mara "baby", eti amenimiss, anataka akumbushie kamchezo... mpaka sometime huwa nahisi ni tego...mie huwa simjibu kitu......ila siku zinavyoenda anazidisha txt... au ndo wametega mtego????
ushauri wenu wana JF..
huyu kaua band kabisa!"mke wa mtu hawara wa watu"
Alikuwa mpenzi wangu kabla ya kuposwa na kuolewa japo iliniuma sana nilisahau maisha yakaendelea.. Amejaaliwa kupata mtoto moja na maisha yanaendelea na mumewe... sasa siku hizi ameanza kamchezo kakutuma txt..mara "baby", eti amenimiss, anataka akumbushie kamchezo... mpaka sometime huwa nahisi ni tego...mie huwa simjibu kitu......ila siku zinavyoenda anazidisha txt... au ndo wametega mtego????
ushauri wenu wana JF..