Mke wa mtu

Mke wa mtu

Penelope

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2012
Posts
713
Reaction score
643
Mke wa mtu alikua akisoma sms kutoka kwa mpenzi wake ghafla alijikuta akitokwa na machozi baada ya mpenzi wake kumwambia mapenzi yao yamefikia mwisho,mumewe akamuliza nani kakutumia sms?mke akajibu dada ,mume akauliza anasemaje?Mke akajibu ananieleza jinsi ya kupika pilau,mbona unalia?Mume akauliza,,,Ananielekeza jinsi ya kupika pilau ;si nimefika sehemu ya kukata vitunguu!!!!!
 
Back
Top Bottom