Mke wa mtu

Mimi niko nje ya nyumbani(TZ) niko ugenini, kazini kwangu kuna dada wa miaka kati ya 24-30 ni mfanyakazi mwenzangu na ni mke wa mfanyakazi mwenzetu, ananitaka kwa nguvu ametumia email ameona kimya sasahivi amehamia kunitafuta kwa simu mimi sipokei wala kujibu ujumbe , naombeni ushauri maana ni kero kwangu, je nimweleze mumewe?

Wee!! riziki haiji mara mbili!
Kama vipi mwambie mwenyewe kwamba hutaki, kitendo cha kutaka kumwambia mumewe unaweza kuhatarisha maisha yake.
je, akichomwa kisu kwa ajili yako utajisikiaje?
 
Back
Top Bottom