Mke wa mtu ukiamua kutembea nje ya ndoa.....do's and don'ts

Just before I log out: This thread is encouraging a bad behavior. Sioni kuna ujanja gani kupeana shauri of how to cheat efficiently, iwe kwa mwanaume au kwa mwanamke. I am married, I don't cheat and I don't need these advises. give me advises on how to improve my relation with my man and mtaniona nachangia.
 
Usichukulie kila uzi wa hapa JF seriously; mingine ni just a joke.

Mtu mzima ashauriwi tabia mbaya; kama anayo ni yeye mwenyewe. Mfano utaonekana chizi ukisema nime cheat sababu JF wamenifundisha.

Just before I log out: This thread is encouraging a bad behavior. Sioni kuna ujanja gani kupeana shauri of how to cheat efficiently, iwe kwa mwanaume au kwa mwanamke. I am married, I don't cheat and I don't need these advises. give me advises on how to improve my relation with my man and mtaniona nachangia.
 
hilo la mpunga ndo rahisi kumkamatisha mwanamke maana lifestyle inaweza kubadilika mpaka mme ashangae,anaweza kubadili mavazi,saloo,maeneo ya kutembea,vidani etc

Labda Mwanamke mshamba na mjinga.... Wee kuna vianzo vya pesa kibao vya wanawake ambao wanakopesha.... Kuna ubaya gani ukijikopesha then unajilipa...lol... Hata hivo i think it beta i run!!
 
Du hii starehe mwisho wake ni lini? vya watu vina utamu wake maana manjonjo mengi na vilio vya wizi
 
Sisapoti wanawake kucheat.Ni vema kutulia na kuimarisha kile ulichonacho,angalia yale mapungufu yatakayokushawishi uende nje na uyatafutie suluisho.
 
Just before I log out: This thread is encouraging a bad behavior. Sioni kuna ujanja gani kupeana shauri of how to cheat efficiently, iwe kwa mwanaume au kwa mwanamke. I am married, I don't cheat and I don't need these advises. give me advises on how to improve my relation with my man and mtaniona nachangia.
jamani RRoulette usiwe mkali ki hivyo,be reasonable,inawezekana wewe una ndoa yako na kila kiti kiko wawaaa(meaning say mmme wako hana 'kisukari',halali nje etc) lakini ndoa za wana mmu wengine unajua zikoje?kitanda usicholalia unawajua kunguni wake?By the way hakuna anayehalalisha cheating,tunaongelea advice kwa mtu ambaye keshakata shauri.Tunarudi kule kule kwa The Boss na thread yako.
Be fair please
 
Just before I log out: This thread is encouraging a bad behavior. Sioni kuna ujanja gani kupeana shauri of how to cheat efficiently, iwe kwa mwanaume au kwa mwanamke. I am married, I don't cheat and I don't need these advises. give me advises on how to improve my relation with my man and mtaniona nachangia.
Nakuomba uelewe kwamba kama wewe hu-cheat, basi tambua kwamba utakuwa una-cheatwa tena kwa sana tu.
 
Back
Top Bottom