Kwa huyu jamani mbona kwangu amekuwa hivi. I realy fall in love kwa mke wa mtu huyu.
Akiongea na mimi, akiniangalia, akitabasamu, akicheka, tukishake hand, akinishauri, tukipiga stori, akinisaidia vijikazi. Mpaka wadadisi wa mambo wanaisi labda tayari. Kumbe walaaa, naumia tu moyoni.
Akimuona mtu wangu kaja dhairi shari bila kificho mke wa mtu anaumia kweli. Bashasha yake inamtoka kabisa usoni na ufikia hata kushinda ndani kwake kutwa nzima.
Tatizo langu kwake yeye ni mke wa mtu tu.
Jamani mke wa mpangaji mwenzangu ananitatiza. Nini nisicho kiona cha kwake.