NGULI JF-Expert Member Mar 31, 2008 4,803 637 Dec 20, 2010 #81 Easymutant said: Manina zako hivi katika wanawake wooote unaona aliyeolewa ndio deal yaani wewe your a living dead. Click to expand... Uliaamnisha nini hapa mkuu? Huyu mleta mada itakuwa mimba yake ilitungwa kwa matokeo ya MTUNGO ndio watoto wanamna hio wanavyokuwa
Easymutant said: Manina zako hivi katika wanawake wooote unaona aliyeolewa ndio deal yaani wewe your a living dead. Click to expand... Uliaamnisha nini hapa mkuu? Huyu mleta mada itakuwa mimba yake ilitungwa kwa matokeo ya MTUNGO ndio watoto wanamna hio wanavyokuwa
FirstLady1 JF-Expert Member Jul 29, 2009 16,792 5,375 Dec 20, 2010 #82 Pole sana iko siku utaujua uchungu wake,NA KWA VILE SASA BADO UNAKULA UTAMU ENDELEA
Dark City JF-Expert Member Oct 18, 2008 16,253 11,599 Dec 20, 2010 #83 FirstLady1 said: Pole sana iko siku utaujua uchungu wake,NA KWA VILE SASA BADO UNAKULA UTAMU ENDELEA Click to expand... Wewe umekatisha likizo? XMass njema!
FirstLady1 said: Pole sana iko siku utaujua uchungu wake,NA KWA VILE SASA BADO UNAKULA UTAMU ENDELEA Click to expand... Wewe umekatisha likizo? XMass njema!
Muro Senior Member Oct 27, 2010 167 3 Dec 20, 2010 #84 Hiyo dhambi haitaisha lazima ikumalize na wewe hata kama hujaoa ukioa tu Mhuuuuuu
Baba_Enock JF-Expert Member Aug 21, 2008 7,076 2,445 Dec 20, 2010 #85 Sikufahamu kuwa kuna "watakatifu" wengi hapa JF kiasi hiki!