Mke wa mtu kulazimisha penzi

Mke wa mtu kulazimisha penzi

Sijui kifanyike nini watoto wawe restricted JF..??
Sema wewe mkuu,me hawa wavulana wananikera sana na vi thread vyao vya kipuuzi na kitoto sana.
@Mods tafadhalini wekeni jukwaa la wavulana na wasichana kupost mambo yao huko,na muwe mnahamisha thread zote zenye utoto ndani yake.
 
Sema wewe mkuu,me hawa wavulana wananikera sana na vi thread vyao vya kipuuzi na kitoto sana.
@Mods tafadhalini wekeni jukwaa la wavulana na wasichana kupost mambo yao huko,na muwe mnahamisha thread zote zenye utoto ndani yake.

Nadhani hata wew utatolewa huku coz hujajielewa, but pole coz ni mkubwa na nahakika umenizidi umri ila bado IQ ndogo
 
Hapo hata sijaona cha kukuumiza kichwa,
Ushahidi wa msgs zake upo,
Nenda nyumban kamuoneshe mama, mama nae atawaambia wengn mume wa huyo dada nae itabidi ajue kikao kitafanyika kesi itasikilizwa.

Tofauti na hapo hakuna solution.

Sawa sawa nmekuelewa, kibusara zaidi
 
kwani huyo bimkubwa anakutaka nini umkubalie mpaka akutishe....???
w
 
Kafanye nae tu, matokeo pia uje utujulishe.
 
Samahani wadau,

Thread inautata kidogo ila mnisaidie nakwepaje hili suala.
Mie mwenyeji wa Newala, Mtwara, Tanzania.

Now niko mwaka wa pili kule utumishi Magogoni DSM.
Wakati nasoma Newala day secondary kule Mtwara mwaka wa mwisho I mean form 4, nyumbani jirani yetu alikua na matatizo.

Mume wa huyo mdada alikua anataka kuoa mke wapili ila walikua hawajakubaliana suala ambalo lilimtesa yule dada, baadae mume akaoa kinguvu so mke mkubwa akawa anakesha analia kila siku, majirani tulijaribu kukaa nae na kumsihi ahimili lile suala, ikawa ngum and kila siku ikawa anakuja home na kunisimulia mambo mengi nyuma ya panzia mie nikawa nammbembeleza tu na kumfariji kwa kupga nae story kwa charting text sms.

Nilikua namheshimu kama dada maana kanipita hata miaka 7 nadhan, na amenishuhudia hatua mbali mbali za ukuaji wangu tokea utotoni,
Shida imekuja baada ya mimi kutoka na kuanza chuo, amekuwa akinitumia sms za mapenzi hata mwishowe akasema what's wrong with her to me, akawa analia kila siku akibembeleza nimkubalie nilivyokua nikienda likizo ndo anazidi mpaka watu wakaanza kunihis vibaya.

Sasa now days ndo kanipa mtihani anasema nikirudi atanifanyia kitu mbaya kama simkubalii ku do nae atanitengenezea kesi, na huyo mumewe ni kauzu sana.

Nisaidieni nisolve vipi na nyumbani naitwa na mother naishia kumzungusha guys help me!

Please make it serious, naumia kichwa hili suala

Yule mkwere alituambia ukipenda kula ni lazima na wewe uliwe.
 
ganda la ndizi- ni takataka au chakula cha mifugo........ ur name inaonyesha wewe ni mchafu.... sasa hako katabia ulikoanzisha na mke wa mtu utakajutia.....msaada mkubwa ni mama yako, mwambie direct la sivyo atamjulisha mmeo.
Badilisha namba ya simu, na mwambie mamako asimpe yeyote bila ridhaa yako.... dogo mke anauma aiseee.....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom