Mke wa mtu kulazimisha penzi

Mke wa mtu kulazimisha penzi

Anachokiongelea bagain hapo sio suala la huyo mke wa mtu kuwa na namba yako ya simu, ila kile mnachowasiliana nae ndio tatizo. Hawezi kukulazimisha umtumie kitu gani au kukulazimisha uwasiliane nae. Uwe makini.

Got u brother, sawa
 
Siamini kama chuo cha magogoni siku hizi kimepungukiwa na mabinti wazuri.
 
Muonye huyo mwanamke na mtishie kuwa utamjulisha Mumewe au mama yako. Mkanye kabisa usitembee na mke wa mtu kwani unaweza kuja kuolewa nawewe na kuwa mke wa 3

Mmmh mother labda kumtisha kuhusu mumewe, but hata hvyo ndo kama anavyosema nikizingua atamwambia mumewe case iko hivi.
Anajua uwezo wa kumface mumewe kumwambia cna and hata hvyo nahofia nikimtisha hvyo anaeza akatangulia yeye kunitengezea case
 
Kakuona wewe Ganda la Ndizi
Hapo inabidi uvae uso wa nyani mwambie kusex naye hutaki na hiyo kesi atengeneze then kata mawasiliano naye
 
Last edited by a moderator:
Samahani wadau,

Thread inautata kidogo ila mnisaidie nakwepaje hili suala.
Mie mwenyeji wa Newala, Mtwara, Tanzania.

Now niko mwaka wa pili kule utumishi Magogoni DSM.
Wakati nasoma Newala day secondary kule Mtwara mwaka wa mwisho I mean form 4, nyumbani jirani yetu alikua na matatizo.

Mume wa huyo mdada alikua anataka kuoa mke wapili ila walikua hawajakubaliana suala ambalo lilimtesa yule dada, baadae mume akaoa kinguvu so mke mkubwa akawa anakesha analia kila siku, majirani tulijaribu kukaa nae na kumsihi ahimili lile suala, ikawa ngum and kila siku ikawa anakuja home na kunisimulia mambo mengi nyuma ya panzia mie nikawa nammbembeleza tu na kumfariji kwa kupga nae story kwa charting text sms.

Nilikua namheshimu kama dada maana kanipita hata miaka 7 nadhan, na amenishuhudia hatua mbali mbali za ukuaji wangu tokea utotoni,
Shida imekuja baada ya mimi kutoka na kuanza chuo, amekuwa akinitumia sms za mapenzi hata mwishowe akasema what's wrong with her to me, akawa analia kila siku akibembeleza nimkubalie nilivyokua nikienda likizo ndo anazidi mpaka watu wakaanza kunihis vibaya.

Sasa now days ndo kanipa mtihani anasema nikirudi atanifanyia kitu mbaya kama simkubalii ku do nae atanitengenezea kesi, na huyo mumewe ni kauzu sana.

Nisaidieni nisolve vipi na nyumbani naitwa na mother naishia kumzungusha guys help me!

Please make it serious, naumia kichwa hili suala

badili kichwa cha post siyo kulazimisha mapenzi.
sema kulazimisha zinaaa ama.ngono ama uzinzi.
 
Brother huyo mtu ana namba yangu tokea niko form one alafu hata nikichange namba bado easy sana kupata akimuambia mama atampa tu coz wote home wanajua kama zamani tu kwamba she z my sister alafu kananipenda tokea hapo so it's too easy kuhusu mawasiliano
si msg za vitisho unazo?au kama huna basi akikupigia mrekodi then mpe mumewe asikilize ili kesi anayotaka kukupakazia imrudie mwenyewe
 
Sawa mkubwa, pia ni good advice

la ziada anza kutafuta namna ya kujihami.pili siyo kila wanachoongea wanawake humaanisha.wao ni wepesi wa kutamka.hiyo mikwara huwa wanaitumia sana.japo mm nakusihi usifanye nae ngono sababu ukiachilia dhambi inaonekana huyo mwanamke anataka kulipa kisasi na ili kisasi kiwe na tija atafanya kila njia ili ijulikane kuwa unammumunya jambo ambalo ni hatari kutumika km kiumiza mtu.utakuwa na vita mbaya na jamii
 
Mkuu pole sana, una option kadhaa za kujitoa.

1. Mambie hutaki mawasiliano naye, na uwe seriuos.

2. Akizingua mtafute mme wake mweleze kila kitu, ila uwe na uhakika kwamba ameshindwa kukuelewa na kweli anaweza kukuharibia.

Ninaamini umeomba huu ushauri ukiwa kweli unataka kuachana na hilo.
 
la ziada anza kutafuta namna ya kujihami.pili siyo kila wanachoongea wanawake humaanisha.wao ni wepesi wa kutamka.hiyo mikwara huwa wanaitumia sana.japo mm nakusihi usifanye nae ngono sababu ukiachilia dhambi inaonekana huyo mwanamke anataka kulipa kisasi na ili kisasi kiwe na tija atafanya kila njia ili ijulikane kuwa unammumunya jambo ambalo ni hatari kutumika km kiumiza mtu.utakuwa na vita mbaya na jamii

Ahsante sana mkuu, nashukuru sana
 
wewe msomi wa chuo kikuu utawezaje kutengenezewa kesi za kipumbavu, bebu jiamini
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom