Mke wa mtu karaha

Mke wa mtu karaha

Jamaa 1 aliwai lipishwa million 2.5 kwa kufumwa na mwenye mali guest houce,

Baada ya miez nikamsikia yule mwanamke akisema kuwa walipanga dili ye na mme wake ili wampige pesa yule baba houce.

Jamaa alipolipwa akahama na nyumba,
Nikasema je ang*t*bw* [emoji15]
 
kwa utafiti wa haraka haraka wajumbe wa jf wanatafuna sana wake za watu
 
kijana umejiingiza kwenye matatizo ambayo ungeyaepuka, wewe ndiye ulimtafuta aje gheto kwako. Au bado unatafuta dhamira yake kwako??
By the way acha kuita sehemu unayokaa gheto maybe utaanza kujiheshimu. Mtu akitoa mahali yake ukweni we unaenda kujilia bure next time wanakutatua
 
Back
Top Bottom