MENEMENE TEKERI NA PERESI
JF-Expert Member
- Mar 11, 2022
- 9,372
- 25,657
Aisee embu achana na huyo dada mara moja bwana .Nilianza mahusiano na dada fulani mwenye watoto wawili awali alinambia wameshatengana na mumewe na wanaishi nyumba moja kila mtu na chumba chake na kweli tulikua tukichat mpaka usiku wa manane.
Nimempenda Sana na yeye ameonyesha kunipenda lakini taratibu kadri tunavyoenda muda wa mawasiliano unapungua.
Mara aseme mumewe yupo na hata tukikutana kwa Sasa anakua mtu mwenye wasiwasi mwingi tofauti na awali.
Nahisi mapenzi na mumewe yameanza kurudi inanitesa Sana sababu nilishaanza kuwa na malengo na yeye na nimempenda haswa.
Japo kila nikimwambia anieleze ukweli kama wamerejeana na mumewe anakanusha na kudai moyo wake upo kwangu pale yupoyupo tu.
Ushauri wenu wanajamvi
ILI BADAE NILIPWE FIDIA...Unataka kujenga kwenye hifadhi ya barabara
Kwanza mwanamke aliyezaa ili kumuamini... AONYESHE DEATH CERTIFICATE NA KABURI UKALIONE... Never the less, BOMU LA NYUKLIA UMELITENGENEZA.. Subiri LilipukeNilianza mahusiano na dada fulani mwenye watoto wawili awali alinambia wameshatengana na mumewe na wanaishi nyumba moja kila mtu na chumba chake na kweli tulikua tukichat mpaka usiku wa manane.
Nimempenda Sana na yeye ameonyesha kunipenda lakini taratibu kadri tunavyoenda muda wa mawasiliano unapungua.
Mara aseme mumewe yupo na hata tukikutana kwa Sasa anakua mtu mwenye wasiwasi mwingi tofauti na awali.
Nahisi mapenzi na mumewe yameanza kurudi inanitesa Sana sababu nilishaanza kuwa na malengo na yeye na nimempenda haswa.
Japo kila nikimwambia anieleze ukweli kama wamerejeana na mumewe anakanusha na kudai moyo wake upo kwangu pale yupoyupo tu.
Ushauri wenu wanajamvi
Mapema sana.Nilitaka nikutag kumbe ushafika mwanangu 🤓
Inshort kazinguaMapema sana.
Jamaa kajichanganya 😬😬
Ushauri kashapewa tumuache🤣🤣Inshort kazingua
Okay 👍Ushauri kashapewa tumuache🤣🤣
Mkuu hii dp yako ni Nini hii?Epuka matapeli❗
Nyumba hii haiuzwi
PoleNilianza mahusiano na dada fulani mwenye watoto wawili awali alinambia wameshatengana na mumewe na wanaishi nyumba moja kila mtu na chumba chake na kweli tulikua tukichat mpaka usiku wa manane.
Nimempenda Sana na yeye ameonyesha kunipenda lakini taratibu kadri tunavyoenda muda wa mawasiliano unapungua.
Mara aseme mumewe yupo na hata tukikutana kwa Sasa anakua mtu mwenye wasiwasi mwingi tofauti na awali.
Nahisi mapenzi na mumewe yameanza kurudi inanitesa Sana sababu nilishaanza kuwa na malengo na yeye na nimempenda haswa.
Japo kila nikimwambia anieleze ukweli kama wamerejeana na mumewe anakanusha na kudai moyo wake upo kwangu pale yupoyupo tu.
Ushauri wenu wanajamvi
Unataka kujenga kwenye hifadhi ya barabara
Mmh utapigwa na kitu kizito mkuu mtu anasema wametengana then anaishi nae nyumba moja na unamini kabisa.Nilianza mahusiano na dada fulani mwenye watoto wawili awali alinambia wameshatengana na mumewe na wanaishi nyumba moja kila mtu na chumba chake na kweli tulikua tukichat mpaka usiku wa manane.