Mke wa mtu kadata na penzi langu

Mke wa mtu kadata na penzi langu

Khaaaaaaa!sasa ni sifa au ujinga?subiri ukishikishwa ukuta na mme wake uje utuambie ilikuaje!
 
Mke wa m2 sumu sheeh angalia ucje kuumizwa one day coz mapenz hayana siri na jamaa akistuka tu lazma utashikishwa ukuta mzee
 
Asante kwa story yako...
Endelea kutafuta sifa na kujisifia upuuzi hivi hivi kwenye mitandao mpaka utakapo kuwa ndio uwache. Pia ukienda shule usisahau kuwa adithia na wenzako hii stori.
 
Safi sana endelea kufaidi the best of both world unapata papuchi na pakee at the same time!
 
Kayumba Secondary School......wenyewe mnaita xool sijui haya
 
Mzinzi mkubwa we. Unajisifia zinaa!!! Tubu kwa Mungu wako...tafuta wako uoe ukitulize hicho kichururu chako
 
Na wewe zamu yako ya kushikwa shikwa Inakuja Kijana,

Jitahidi sana usisahau kuweka KY chumbani mnapo kutania na huyo Mke wa mtu.
 
ila wake za watu wa siku hizi majanga matupu, sasa kama mmeo hakufikishi si umwambie? mke kama huyu unamchukua kwenda porini kutembea halafu unamlalua na bastola tu basi potelea huko.
 
Back
Top Bottom