TIQO
JF-Expert Member
- Jan 8, 2011
- 13,786
- 2,104
Si wanasemaga eti watu wa hukoooo wakichokana wanakubaliana kutafuta ladha nyingingine!
huko kwa wenzetu hawavungi kama huku bongo mtu akimchoka mwenzie anakusanya kilicho chake anachapa mwendo
Si wanasemaga eti watu wa hukoooo wakichokana wanakubaliana kutafuta ladha nyingingine!
Huyu atakuwa tayari ana magonjwa yake na anataka kumpunguzia mtu,wale wasio waoga wa kuyapata magonjwa tenda ya bure kabisa hiyo.Ni mke wa mtu, ana umri wa miaka 43. Anatafuta hawara wa kula naye good naye good time.
Haya ni mazungumzo baada ya habari. Mke ama mume wa mtu hawezi kuja JF au kwenye mitandao ya kijamii kutafuta mtu wa kutaka kujamiana naye. Kama atakuwepo basi huyo ni mbumbumbu. :confused2:
Unaujua mtandao wa Ashley Madison wewe? JF haitii mguu kwa huu mtandao.
ndo manake mtani!that how extremely honest she is!veeeeery extremely!
Kama nilivyokuambia ama kusema, hakuna mtu mwenye akili timamu akijuwa kuwa yeye ni mume ama mke wa mtu akaenda Ashley Madison ama Plenty Of Fish na kuweka his/her true profile kutafuta mtu wa kujamiana. Walio wengi mitandaoni ni feki. Nikuulize wewe...je, profile yako huko Ashley Madison ni ya ukweli😕
Kwani wewe in real life unaitwa Mkereketwa? Mimi in real life ninaitwa Nyani Ngabu?
Watu ni real lakini user IDs zao ndiyo unaweza ukaziita feki. Nyuma ya Nyani Ngabu kuna mtu kabisa. Lakini Nyani Ngabu siyo my government name na ukianza kunitafuta kwa kuulizia au kufuatilia Nyani Ngabu nitashangaa ukimpata.
I hope you get my drift.
Bahati nzuri haunijuwi and it's not your fault. Nina jina langu la ubatizo kabisaaa, ila marafiki zangu wote wananijuwa kwa jina la Mkereketwa kwani ni wao ndiyo walionipa hili jina kutokana na kauli zangu. Cha kushangaza kuna wengine kabisa hawalijuwi jina langu la ubatizo bali ni hili hili la Mkereketwa na nimelikubali.