Mke wa mtu ananitaka kimapenzi

Mke wa mtu ananitaka kimapenzi

Jeanclaude

JF-Expert Member
Joined
Aug 30, 2013
Posts
259
Reaction score
238
Wadau, kuna dada mdogo hivi wa miaka 21 mke wa mtu ambaye hunisumbua akitaka kampani yangu hata kunitembelea weekend kwa kuwa mimi sijaoa. Mwanzoni alikuja kwangu kuomba ushauri juu ya manyanyaso anayofanyiwa na mumewe lakini sasa amefikia hatua ya kunitamkia wazi wazi kuwa anataka nitoke naye. Nilimwambia siwezi kutoa ushauri wa maana kuhusu ndoa wakati mimi mwenyewe sijaingia huko, nikamshauri awatafute watu wazima wao watakuwa kwenye nafasi nzuri zaidi kiushauri kuliko mimi. Nimekuja hapa kuomba ushauri namna ya kumuepuka maana tupo ofisi zinazopakana hivyo kuonana huwa mara kwa mara.
 
Muogope kama ukoma.......stress za kwenye ndoa yake anakuja kuzimalizia kwako..........

we utakuwa ni Back up yake tu.......
 
visichana vingine sijui maisha ya kwao yanapokuwa magumu vinakimbilia kuolewa ili vipate service wakati mikiki ya ndoa haviiwezi,,,,matokeo yake kutwa kucha vinatafuta watu wakuvikaza nut zao,kaa nae mbali ikiwezekana kata mawasiliano kama unavyomchunia x wako mnapogombana
 
kuwa makini kaka huo mtego!!mpotezee tu, nibora uonekane mwoga au zoba kuliko kutake risk kuuuubwa kiasi hicho!!
 
visichana vingine sijui maisha ya kwao yanapokuwa magumu vinakimbilia kuolewa ili vipate service wakati mikiki ya ndoa haviiwezi,,,,matokeo yake kutwa kucha vinatafuta watu wakuvikaza nut zao,kaa nae mbali ikiwezekana kata mawasiliano kama unavyomchunia x wako mnapogombana

Ahsante...alikuwa ananiomba lifti hadi nikaamua kubadili ruti au nichelewe kutoka town. Utakuwa sahihi, nahisi aliolewa akiwa bado hana utayari wa ndoa.
 
Kula mzigo tambaa. Usimruhusu akupumzikie. Akitaka tena mwambie ile ilikuwa bahati mbaya, haitorudia tena. Usiwe unamtumia sms (evidence), mpigie simu mara moja kwa week. Hapo ataanza kuchoka kujipendekeza na ww utakuwa ushaachana nae.
 
Hakuna maisha ya ndoa yanayokosa misukosuko,kwa umri wake mdogo alifikir kila siku yatakuwa tambarare kumbe sivyo.JIHEPUSHE NA HIKO KIMEO KWAN MKE WA MTU NI SUMU,watu wasije wakakata marinda plz
 
Ha ha ha...
Tukiwa vijana wadada kama hao walikuwa wanapigwa mtungo ghetto....hiyo ndio ilikuwa njia ya kuwakomesha maana akitoka hapo ataenda tu kuwasimulia chakaramu wenzake.
 
ulishawah ona mbuzi wa ndafu anavyochomwa??? Ohooo! Hivi kwanza ulikutana wapi na hyo laana?
 
Back
Top Bottom