Mke wa mtu anadai mtoto aliyezaa kwenye ndoa ni wangu

mhhhhhhhhhhhhhhhhhhhh utani utani huu unaweza kukutoa maisha,
ukauwawa bure....
 
oh god!!epushaaa hilii...wanaume wengi tunalea watoto wasio wetu,hivii huyo mwanamke ana akili kwelii yani miaka nane njemba inalea mtoto si wake,chukuliaa wewee ndo yeyee na yeye ndo wewee?asee inaumaa...na utakuta mama kamwambia baba ako si huyu au anakuita uncle?nimechokaaa kabisaaaaa
 
Kitanda hakizai haramu ndugu yangu, mchukuwe tu mwanao

Kitanda kipi hapa unaongelea, yule mama yuko kwenye ndoa na amezaa kwenye ndoa. Kwa kifupi jamaa hana mtoto hapo! Huyu ni mtoto wa bwana aliye muoa huyo mwanamke!
Ni kweli kitanda hakizai haramu....
 
pole kampigie magoti mume mwenzio umuombe msamaha na kujutia makosa yako pia umhakikishie kutokurudia! Akikuruhusu mchukue mtoto ukalee na wenzie au uwe unatuma matumizi huko aliko na akutambue kama mzazi wake damu si maji asee, jikaze kiume!
 
mh! mambo haya bwn, umesema alipokuuliza kuhusu kumwoa hukuwa tayari kwa madai kuwa ulikuwa bado masomoni, na uliporudi likizo bado ukamvunjia heshima mmewe kiasi hicho, na leo unatueleza wazi huo upuuzi, napinga usemi wa mchuma janga hula na kwao, kwa hili kula tu mwenyewe na ujue tu mla kuku wa mwenzie miguu humwelekea, na pia mla hulliwa
ni dhahili ulikuwa humpendi huyu dada ulozaa naye ndo maana baada ya kuwa ameolewa na wewe ukaoa, tena kumbuka huyo mmewe anakufahamu sana tu kwani yaonesha ni jirani kabisa.

pole zako!
 
kazi kweli kweli.
Haya maamuzi hufanywa ukiwa na viroba 8, akili iko mahali pake na husemi uongo.
 
mh! mambo haya bwn, umesema alipokuuliza kuhusu kumwoa hukuwa tayari kwa madai kuwa ulikuwa bado masomoni, na uliporudi likizo bado ukamvunjia heshima mmewe kiasi hicho, na leo unatueleza wazi huo upuuzi, napinga usemi wa mchuma janga hula na kwao, kwa hili kula tu mwenyewe na ujue tu mla kuku wa mwenzie miguu humwelekea, na pia mla hulliwa
ni dhahili ulikuwa humpendi huyu dada ulozaa naye ndo maana baada ya kuwa ameolewa na wewe ukaoa, tena kumbuka huyo mmewe anakufahamu sana tu kwani yaonesha ni jirani kabisa.

pole zako!

Ndugu yangu si kweli nilikuwa simpendi kama unavyosema hapa na nilikuwa naye for six years tukiwa na plans though ukweli ni kuwa alikuwa mkubwa kwangu kwa miaka miwili na hii haikuwa sababu ya kutuzuia kuwa pamoja.Yeye aliona muda unaenda na mimi nikawa bado nasoma sikutaka kuona halafau nimwache bila uelekeo so uvumilivu ulikuwa mdogo kwani mdogo wanke anayemfuatia alikuwa ameshaolewa akawa under pressure.Mimi nilioa miaka miwili baadaye
 
Namhurumia mume wa x wako na c wewe maana we kwa mkeo huna maneno mengi coz mtoto amezaliwa 2yrs b4 ndoa yenu...masikini mtoto wangu wa kiume cjui atajaoa mke wa aina gani ..Mungu saidia haya yasinitokee maana ni ngumu kumeza
 
check na dna partenity test first.Iki confirm,then jipange vizuri ili umuhalalishe huyo mtoto.Haiingii akilini kusema kitanda hakizai haramu wakati toto limefanana na mtu mwingine waziwazi na kila mtu anajua baba yake si wewe bali huyo jamaa mwingine,damn!
ndiyo maana wengine tunakosa hamu ya kuoa kwa mambo ya kisenge kama haya
 
Siku zote kila mla cha mwenzie na chake huliwa!
Ww jiandae na ww kulea watoto wasio kuwa wako!
Sipendi wanaume wazinzi,na waizi wa wake za watu.

Cantalisia mbona hivyo ndugu yangu? Unatisha kweli, mi nataka kulia, yaani mtu akule nani hii yangu, wewe?
 
Pole na uache mchezo wako mchafu.

Mwambie mama yako aache papara zisizo na msingi atulie, na anapokuambia unasalimiwa na mwanao maana yake kuwa ulimwambia kuwa ulibanjua amri ya sita na mke wa mtu na una mtoto naye ambaye ndo huyo sasa.

Cha kufanya ili kuponya hizo ndoa zenu mbili zisiwe ndoa ndoana kaeni zenu kimya.

Ukijifanya kwenda piga magoti kwa huyo mume wa ex wako jiandae kusikia kuwa ndoa imesambaratika nawe kufuatwa na mapanga na ndoa yako kusambaratika pia.
 
Kwa mwendo huu kila nikipata mtoto nafanya DNA test. Huu cio mda wa kuuziwa mbuzi kwenye gunia.
Mkaka chukua mtoto,mpe malezi ya ukweli. Mueleze mkeo natumaini atakuelewa ikibidi uishi na huyo mtoto kwani anahitaji mapenzi ya baba, pesa ya matumizi pekee haitoshi. Ukishindwa kumchukua kuishi nae bora umwache huko huko
 
kazi kweli kweli.
Haya maamuzi hufanywa ukiwa na viroba 8, akili iko mahali pake na husemi uongo.

Ha,ha,ha!Tena VIROBA vyenyewe vina kapicha ka mtu amenyanyua mikono juu anashangilia Kilimanjaro stars oyeeeeeee!!!
 
Back
Top Bottom