Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 25,559
- 45,879
Wewe Siyo mvaaji sana, siku zingine unavaa nini?
Akiwa safarini to the moon for rent payment anafanyaje?bajeti dar joto
hapo ndiyo hafui mpaka amalize safari .. hatariAkiwa safarini to the moon for rent payment anafanyaje?
Baada ya safari ukiisimamisha inaweza kusimama dede.hapo ndiyo hafui mpaka amalize safari .. hatari
Ha ha ha ha kuna watu wanajiwezaBaada ya safari ukiisimamisha inaweza kusimama dede.
Joto maeneo hayo tubajeti dar joto
ngoja niwaulizeJoto maeneo hayo tu
Swali la kizushi.....Ni ajabu sana kuna rafiki yangu leo kaniambia eti yeye ana nguo moja ya ndani/kufuli moja tu ndani kwake.
Japo mimi sio mvaaji sana ila ninazo nyingi.Imebidi tumchangie tumnunulie dazen halafu ni mke wa mtu.
Sijui huyo baba mke anatoka bila kufuli huwa anawaza nini.
Ni ajabu sana kuna rafiki yangu leo kaniambia eti yeye ana nguo moja ya ndani/kufuli moja tu ndani kwake.
Japo mimi sio mvaaji sana ila ninazo nyingi.Imebidi tumchangie tumnunulie dazen halafu ni mke wa mtu.
Sijui huyo baba mke anatoka bila kufuli huwa anawaza nini.
Na ukizingatia panapohitaji hiyo kufuli napo pana jotobajeti dar joto
Swali la kizushi.....
Hivi mwenye 'kufuli' moja na wewe mwenye nyingi halafu huvai, MNA TOFAUTI GANI?
Je wewengoja niwaulize