uncledalali
JF-Expert Member
- Jan 10, 2014
- 249
- 118
Nina uhusiano wa kimapenzi na mke wa mtu.Kipindi tunaanza uhusiano nlikuwa sijui kama ni mke wa mtu na yeye alinificha lakini nmekuja gundua ni mke wa mtu na nataka nimteme,tatizo sasa demu hataki anadai yuko tayar kuachana na mumewe ili awe na mm! Mm simtaki coz amenizidi age xna kama miaka7.ushauri wako tafadhari..
Hapo 0713 yako iko mashakani,kama vipi bora uikimbize mapema... Kwa kuachana na huyo mwanamke universal charger

ushauri mzuri!wazo la kwanza embu fikiria kama atamwacha mumewe na kukufate wewe.je kutakuwa na ugumu gani wa yeye kukuacha wewe?
Pili, tayari umeshajua kuwa ni mke wa mtu huoni ni busara kwa wewe kwenda kutafuta mwanamke mwingine atakayekuwa mkeo.
Tatu. Jaribu kuwa mwanaume na usiwe mvulana. Kuwa na maamuzi yako. Mwambie mimi na wewe basi,kwani hatima yako wewe kimaisha iko kwenye maamuzi yako.
wazo la kwanza embu fikiria kama atamwacha mumewe na kukufate wewe.je kutakuwa na ugumu gani wa yeye kukuacha wewe?

si kizembe kama unavyofikilia anaweza akageuziw yyAsiposikiliza ushauri huu, kunayo haja ya kulawitiwa, kuuawa, ....na mwenye mali.
Endelea tu mimi ntakua MC siku mtakapo gandana.
si kizembe kama unavyofikilia anaweza akageuziw yy