Mzee wa fact
JF-Expert Member
- Jul 9, 2012
- 247
- 229
Mpelekeee motooNi shem wangu anapitia kipindi kigumu na mumewe na ananishirikisha mpk siri zake za ndani na analalamika kuwa jamaa hamjali na hata huduma ya unyumba haipati nimemshauri mpk nimeshindwa kuwaweka sawa hii ipoje
Achan nae mkuu ingia mitininilipanda mtumbwi kama uo kwa wife wa mshikaji wangu nikamla now I feel guilty imebid kila siku nambeba mwamba bar kula masanga bills on me najichekesha jichekeshe kwa mwamba aisee na dem bado anataka kugegedwa nipo njia panda akili inagoma moyo unataka
Yooooooh....dhambi ya uzinzi inakuzinga.Ni shem wangu anapitia kipindi kigumu na mumewe na ananishirikisha mpk siri zake za ndani na analalamika kuwa jamaa hamjali na hata huduma ya unyumba haipati nimemshauri mpk nimeshindwa kuwaweka sawa hii ipoje
Je huyo mke wa jamaa yako anq chura?Ni shem wangu anapitia kipindi kigumu na mumewe na ananishirikisha mpk siri zake za ndani na analalamika kuwa jamaa hamjali na hata huduma ya unyumba haipati nimemshauri mpk nimeshindwa kuwaweka sawa hii ipoje
nilipanda mtumbwi kama uo kwa wife wa mshikaji wangu nikamla now I feel guilty imebid kila siku nambeba mwamba bar kula masanga bills on me najichekesha jichekeshe kwa mwamba aisee na dem bado anataka kugegedwa nipo njia panda akili inagoma moyo unataka bad enough najua moyo always wins this battle
USITHUBUTU kumla halafu utanishukuru baadaye😎Ni shem wangu anapitia kipindi kigumu na mumewe na ananishirikisha mpk siri zake za ndani na analalamika kuwa jamaa hamjali na hata huduma ya unyumba haipati nimemshauri mpk nimeshindwa kuwaweka sawa hii ipoje
Wapotezee wote wawili. Ukiweza jiweke mbali nao kwasasa. Fanya hivyo, utakuja kunishukuru mbeleni.Ni shem wangu anapitia kipindi kigumu na mumewe na ananishirikisha mpk siri zake za ndani na analalamika kuwa jamaa hamjali na hata huduma ya unyumba haipati nimemshauri mpk nimeshindwa kuwaweka sawa hii ipoje
Achana na huo upuuzi. Jamaa yako akigundua anaweza kukuua. Mchunie mke wake ikibidi piga block 🚫 kabisa. Huyo mwanamke hakutakii mema kabisa.nilipanda mtumbwi kama uo kwa wife wa mshikaji wangu nikamla now I feel guilty imebid kila siku nambeba mwamba bar kula masanga bills on me najichekesha jichekeshe kwa mwamba aisee na dem bado anataka kugegedwa nipo njia panda akili inagoma moyo unataka bad enough najua moyo always wins this battle
Uchi usio halali yako ni lango la maangamizi yakoMithali 6:32 - Mtu aziniye na mwanamke hana akili kabisa; Afanya jambo litakalomwangamiza nafsi yake.