Mke wa mpangaji mwenzangu



Mtafune
 
huitaji kuwa na masterz au degree kujua hii ni chai kwa akili ya kawaida tu


nawasilisha
 
Watu wengne wajinga Sana, mtu kalala ndani kwake unasema anakutega, acha shobo na wake za Watu mjinga ww...
Halafu inaonesha hata kuongoza hujui

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sina lengo lolote la kumtongoza wala cjawahi kua na hisia nae na sina mpanho wowote wa kmutaka mke wa mtu kwani hapo hapo kna binti mbichi tu cjawahi mtaka sembuse hyo mke wa jamaa nachotaka ni heshima kama nilivo mheshimu ck zote
Sawa baba umesomeka nakushauri jifanye kama umuoni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa staili hii nyumba za kupanga zitakushinda mkuu..ukikagua jirani na hostel unaweza fungwa kwa ubakaji, ogopa mke wa mtu kama uogopavyo tupu ya mtoto mdogo
 
ulitamani tukwambie kamalize....shwaini wewe....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…