Mke wa Mjomba ananitaka kimapenzi

Usukumani tunasema "shise na mami" yaani ni wetu na mjomba, wee kula haina shida hiyo

Zamani kijana ukionekana umekua na huna harakati za kutafta mademu ni mke wa mjomba ndo anatumwa kukupima kama atatoa majibu baada ya mgegedo kama ni mgonjwa unaanza dozi mara moja kama upo vzr unataftiwa mke chapu

Wasukuma wanaelewa!
 
Mke wa Mjomba amekiri kwangu kuwa ananihitaji kimapenzi. Nimejaribu kukataa imeshindikana. Buriani anko
Mara paah kadaka ujauzito na kazaa Toto lililofanana nawe ilihali mbegu yako imelanda mbegu toka ubabani wala si umamani...🀭

Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…