Najilipua1. Kama amekushika mkono, atakuwa tayari ashakuambukiza Corona, nenda nae karantini siku 14. Mkitoka huko, uje na mrejesho wa sehemu zingine atakazo kuwa amekushika.
2. Naona unataka kujilipua, rudi shambani ukajilipulie huko huko, hapo nafikir utakuwa umesafisha shamba, na wew utakuwa umebahatika kufia shambani kwako.
Kila la kheri
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama shida ni kurogwa ondoa shaka kabisa.. hakuna kitu kama hicho duniani.
Lakini.kumbuka mke wa mtu ni sumu.. antidote yake ni kutembea na mafuta tu incase ukifumwa usichubuliwe sana.
Ndio ni kweli nalipwa 7,000 kwa sikuKuna habari zinavuma kwenye mitandao ya kijamii kuwa wewe ni pandikizi kutoka Lumumba ambae umepewa kazi ya kuvuruga attentions za watu juu ya udikteta wa serekali kwa kuanzisha nyuzi nyingi za uongo per day!Kuna ukweli wowote ndugu?
NampasuaBudaa mke wa mtu sio poa,Ukijafanya mwamba ipo siku utakuja kujua why kifo cha mende n maarufu kuliko wadudu wengine.
Barnes
Aisee atanilogaPitanaye tu achauoga....yaani huwezi kuwa baharia wewe kitu kidogo tu hicho.mimi mwenzako nilimtapeli mganga tena anaogopwa na kila mtu kwa balaa lake.