Mke wa mchungaji ananitaka


mke wa mtu sumu kweli ila kutaka mawazo yenu
 

anao panya geto mwaache akapewe mautam
 
Kwahiyo alivyokwambia uongope kuwa wewe ni kaka yake ulikubari?

kwanza wazo hilo hakuniambia tukawa tunawasiliana kawaida siku nilipokuwa arusha kikaz ndiyo ikaja hiyo wazo na alitaka niende home nikakataa ila krismas nikasema niende kanisan kwao kama ni kweli mume wake ni mchungaji au ananidanganya mana hatujaonana miaka ming kifupi mama huyo ni walu walu sana kabla ya kukutana na huyo bwana
 
Kanisa gani hapa Arusha? Kumbe ni wewe, sasa nimeshakujua! Ama lwako ama lwangu!

mahir uwe msikiv kidogo mana huenda ninakusaidia kama ningetaka ningeshangonga siku nyingi mana ananisikiliza mim ninacho sema
 

ni tabia yake kabla ya kukutana huyo bwana ila baada ya kuolewa hapo sijui kwa kuwa ile mimba ya primary iliharibika akaningangania mimi nikampa mahope kama ulivyosema ila badae nikamwambia ukweli alisikitika sana ila akageukia kwa wanaume wengine mpaka wakawa wanamwita malboro
 
Wewe ulikuwa unamtaka huyo mmama. Alivokuambia udanganye kuwa we kakake kwanini ulikubali kama una akili timamu?

hapana kaka unajua upelelez unabidi uwe mpole kidogo kwa sabab mim namjua ila sikuamin nilitaka kuona kweli ni mke wa mchungaji? ndio mana nilienda kanisan siyo nyumbani kiukweli kama ni kosa la kukubali nimelifanya nakir hilo
 
mahir uwe msikiv kidogo mana huenda ninakusaidia kama ningetaka ningeshangonga siku nyingi mana ananisikiliza mim ninacho sema

Kusema kuwa anakusiliza wewe unachosema si sawa tambua huyu ni mke wa mtu na huwa wanakaa faragha na Mkwe kuzungumza mambo ya msingi yahusuyo familia yao na mumewe humsiliziza pia kwani hiyo kauli unapelekea kuondoa imani dhidi ya mkewe kabisa

Kubwa hapa jiepushe kabisa kuwa karibu na huyu mama na ikiwezekana mjenge kisaikolojia awe na mapenzi ya dhati kwa mumewe maana kinachokaoneka hapa ni tamaa za mwili zinamsumbua hasa ukizingatia anakujua tangu utoto
 
Mtego huo kaka,mke wa mtu sumu,siku hizi kuna smart phones ukidakwa tu watu wanachukua picha na siku hiyohiyo tunakuona kwenye vyombo vya habari na tutakujua kuwa kumbe maganjwa mwnenyewe ndio huyu!!!!!!!!

mkuu mtego ni ukweli mtupu nimwogopa zaidi wap anasisitiza sana niwe naenda nyumbani lakini mim namwelewa jambo moja alipenda sana zamani tulipokuwa vijana wadogo mimi baada ya mimba nikamzingua hilo ilimsumbua sana
 
Last edited by a moderator:
We mwambie "me ni muathirika wa HIV" uone kama atakusumbua tena!!!!!


Sent from my iPhone using JamiiForums app
 
Umeweka heading ya kukoleza story! Kabla hajawa mke wa mchungaji ni mtu mliyefahamiana miaka mingi nyuma na mkawa kwenye mchakato wa kuwa wapenzi kwahiyo hujatenda haki kumsema hivyo

kitu kilichonishtua ni kutaka nimwongopee mume wake imevuka mpaka sana ww unaonaje? kwa mahusiano yake mim na yeye ni miaka mingi sana kwa imeshakuwa story ya watoto wadogo
 
Kwenye namba yake ya simu futa jina ulilosave na andika jina jipya nalo ni SHETANI WA KIKE,ili kila akipiga umkee vizuri shindwa pepo la uzinzi,na siku ukifanya hicho kitendo jua ndio mwanzo na mwisho waka kimaisha,u will never make any progress in your life,because she is the wife of anointed one,and the word of God say touch not my anointed.ni kama vile mke wa Ibrahim na Isaac katika nje za ugeni,tena neno linasema ikimbie zinaa,so what are you waiting?
 
Amina baba! Haya maisha ndio hivyo tena. Niliposoma mwanzoni nilipata hasira ya kibinadamu ila unavyosema ni vyema zaidi.

zaidi unishukuru sikumgonga na wala mpango huo sina na nyingine wanawake ndivyo walivyo hata kama umpe nini akipenda nje atachepuka tu ndio watu wanafumaniwa kila siku
 
nifanyaje yey ameolewa na mtu kabila lingine ndio mana anasema niseme mimi ni kaka yake story ni ndefu ila nimefupisha wana kanisa nzur sana kwenda nyumban niligoma kabisa kwa sabab hiyo. tusaidiane hali tete.

Yeye ni wa maganjwa sehemu gani nijuze m nitafikisha ujumbe kwa ndugu zake wambie aache kukusumbua
 

najitahd sana mkuu kumjenga kisaikolojia mwanzo alitaka hata niwambie hata ndugu zangu nimweleza akaelewa na tena akataka niwe hata nawasiliana na watoto wake wajue mim ni mjomba nikamkataza akaelewa kwa hiyo najitahid ndio mana nimekuja hapa kupata mbinu mpya
 
Yeye ni wa maganjwa sehemu gani nijuze m nitafikisha ujumbe kwa ndugu zake wambie aache kukusumbua

dah! naogopa sana kukuambia sehem ndoa ya watu isije pata matatizo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…