Mke wa mashaka

Mke wa mashaka

Timiza wajibu wako kitandani na matunzo ya familia. Hayo mengine achana nayo unaweza ukawa unajistukia tu kwa kitu ambacho hakipo.

Wenzetu huko majuu weekend kama leo anaweza kukwambia anataka kutoka na rafiki zake wewe ubaki nyumbani sasa kwa miwivu ya kibongo sijui utajinyonga.

Kumtimizia mahitaji yake kama uliyotaja ni sawa lakini wakati mwingine uwezo unakuwa umeishia hapo mlipo (hasa hili la fedha). Anapaswa kufahamu mwenziwe uwezo umeishia hapo na asitake makubwa zaidi ya uwezo wao.
 
Wala yeye haendeshimaisha yangu mimi nna kazi yangu na wala simuogopi ila WATOTO
 
mwambie live ajirekebishe habar za mafumbo ni uoga huo
 
vitabia gani sasa weka wazi ... isije ukawa unajihisi
 
wAJIBU WANGU NATIMIZA TENA KWA KIWANGO CHA JUU NAMJALI YEYE NA WANANGU ZAIDI YA CHOCHOTE ILATUNAPOTOFAUTIANA HAKUNA RANGI NISIYOIONA ANANIPIGA NA MATUSI JUU NA VITU NILIVYOMNUNULIA ANADAI NIVICHUKUE HARAKA NIONDOKE NAVYO NA SI KWAMBA SIWEZI MPIGA HUWA NAMWANGALA TU ANAFANYA VITUKO VYAKE MPAKA ANAMALIZA
 
Back
Top Bottom