Huhuhuhuhu wana hizo tabia za kumfanya mwanamke kama punda ni ukweli usiopingika mtasemwa sanadada naona unataka kuvuka mipaka sasa, kutuita sisi manyau wa kanda ya ziwa ni sawa na kumtukana kuingoz wa nchi hii na nchi ya Tz kwa ujumla, emb kuwa na adabu kwa watu usiowajua..
Kanda ya ziwa oyeeeeeeeeeee!!?
Sent using Jamii Forums mobile app
sasa unatutukana wana kanda ya ziwa ili iweje!!? Hv haujui hata kiongoz mkuu anatoka huku wee huna busara hata kdogo. ama kucoment bila kukashfu watu huwez ety
Kwahiyo kama kiongozi mkuu anatokea huko!!??inaondoa ukweli kwamba mna tabia mbaya sio?sasa unatutukana wana kanda ya ziwa ili iweje!!? Hv haujui hata kiongoz mkuu anatoka huku wee huna busara hata kdogo. ama kucoment bila kukashfu watu huwez ety
Sent using Jamii Forums mobile app
hiyo ni thirika ya mtu wala si kwa ukanda flan, acha kujitia ukilaza wakati una hakiri zote..Huhuhuhuhu wana hizo tabia za kumfanya mwanamke kama punda ni ukweli usiopingika mtasemwa sana
Sent using Jamii Forums mobile app
sasa suala la unyau linatoka wapi naww nikuulze ety!!?Kwahiyo kama kiongozi mkuu anatokea huko!!??inaondoa ukweli kwamba mna tabia mbaya sio?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakiri=×hiyo ni thirika ya mtu wala si kwa ukanda flan, acha kujitia ukilaza wakati una hakiri zote..
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe na kaka yako mlichangia mahari ya kumuoa?Jamani Mke wa kaka yangu kagoma kabisa hataki kunifulia nguo zangu,
Nifanyeje?
Sent using Jamii Forums mobile app
Una miaka mingapi? Au unaulemavu wa aina yoyote? Mfano we ni kipofu? Kama ndiyo bas mke wa kaka yako haukutendei haki awe anakufulia tu.
Unachanganya vitu.Una miaka mingapi? Au unaulemavu wa aina yoyote? Mfano we ni kipofu? Kama ndiyo bas mke wa kaka yako haukutendei haki awe anakufulia tu.
Ila kama ww uko normal tu na unajitambua na bado unaishi kwa kaka yako unakula ugali wa bure bado unataka na nguo ufuliwe bas we ni mjinga hujitambui. Oa uwe na kwako.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yes sorry mkuu nime quote vbya maana haka kauzi hata sijahangaika kukasoma.
Asa huu n uzi gan alafu nilchogundua hyu pimbi amewaza zake cha kupost ndo akapata wazo hlo hv unaezaje kuleta mashtaka kama hayo inamaana hyo mwanamke kaolewa na wanaume wawili hata kukipikia tu n msaada tosha shubamit!Hahaha mkuu umenichekesha balaa.
Jamani Mke wa kaka yangu kagoma kabisa hataki kunifulia nguo zangu,
Nifanyeje?
Sent using Jamii Forums mobile app