Mke wa jirani yangu

Watu kwa kugeuza maneno!haya nimesha wauliza
 
Kuna program inaitwa Truecaller itakusaidi kwenye vimeo kama ivyo
 
Hahahaha nimekusoma leomimi
 
ukute mmewe ni jamaa anatokea pale Tarime...otea nini kinafuata hapo.
 
kuondokana na usumbufu nioe mimi nimkomeshe huyo mwanamke na mimi ntaaza kuwasiliana na mumewe yeye sisi ana unga mi natafuta hela ya mboga
 

Mwambie ukweli,,,Genlteman hana mambo za kuficha.
 
Hama Mtaa Kabisa aisee, badilisha namba kwa siku kadhaa waambie watu muhimu, YATAKUJA YAKUKUTE USIYOYATEGEMEA
 
Wewe kuwa makini mwenzio huku kiilimahewa mwanza kaliwa kabang wamemvunja mgongo.endelea tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…