Mke wa Jamaa ninayemdai!!

Pole kakakiiza, nimetumia neno kahaba kwakuwa naona mkeo hajatulia kabisa kwa maamuzi hayo ambayo anataka kuyachukua kwani hayafai kwa yeye kama mke wa mtu!!!

siyo mke wangu mimi nimke wajamaa niliyekuwa na mdai!!refer the story broda!
 
huo ni ukweli wenyewe,kutoka nje ya ndoa,hasa kwa mwanamke ujue ndani humo kuna matatizo,au mojawapo ni kuchokwa,ila watu wanaishi pamoja ili kufurahisha jamii.Ndio maana ndoa nyingi watu hawaachani ila kila mtu hutafuta wake wa pembeni.Kwa mwanamke inakuwa siri kubwa,wakiwa nje,hao hao ndio wanaokemea hawatoki nje,kumbe moyoni mwao wana siri zao
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom