Mke wa jamaa ananisumbua

bora umfadhili mbuzi utamnywa mchuzi; binadamu atakuudhi!
hivi human race imepotelea wapi? mara wenhine wamesomeshwa na hawamtaki ngumbaru aliewasomesha, mwengine kapewa na pete ya uchumba hamtaki lecturer tena! ngachoka!
 

Huyo mwanamke ni wale walioolewa kupata title ya u Mrs, atakuwa na tabia ya kugongwagongwa nje ya ndoa. Hata kama wewe utamuacha jua kuwa wapo wengine wanaomtafuna nje ya ndoa, lakini kwa kuwa mume wake amekusaidia mpaka ukaweza kujitegemea sio vizuri kutembea na huyo mwanamke, tafuta njia ya kumpotezea.
 
Wewe utakuwa shoga unataka kupakuliwa tu unamtumia mke wa rafiki yako kama chambo ili jamaa akuparamie. Wewe mtu gani huna shukrani bana bora ufuge kakitimoto katakushukuru kwa hela na nyama baadaye kuliko kufuga kunguru kama huyu asiye na faida. Achana na mke wa mtu tafuta wa kwako mbona mademu kibao kitaa au domo zege.
 
nipe mimi huyo maana hili baridi dar litaniua
 
Hawa jamaa wameshaona hii ni fasheni, ya kuja kujitangaza hapa kwamba wametongozwa. Sidhani kama huwa wanakuja hapa kuomba ushauri kweli, nafikiri huwa wanataka show of, waonekana na wenyewe wamependwa na wake za watu. Mwanaume mzima utashindwaje kuwa na maamuzi? Shame on those who entertain this.
 
King'asti huu ni ufedhuli wa binadamu, binadamu salama wamekuwa adimu, fadhila uwatendee watakuachia fadhaa
bora umfadhili mbuzi utamnywa mchuzi; binadamu atakuudhi!
hivi human race imepotelea wapi? mara wenhine wamesomeshwa na hawamtaki ngumbaru aliewasomesha, mwengine kapewa na pete ya uchumba hamtaki lecturer tena! ngachoka!
 
UNA UHAKIKA AU UNAJIFURAHISHA TUU?
UONEKANE NA WEWE UMESEMA?:smile-big:
 
MANENO HAYO YAMEKUWA WEMBO!
TUNAIMBA KISHA TWANYAMAZA!
IMEKUWA KAMA MVUA ZA MASIKA!:smile-big::smile-big:
 
hiyo kitu hainaga makombo jamaa.. "we ka we" mgegede tu...halafu "we ka we" andaa 0713
 


Eti, hivi ni kweli hujui cha kufanya?
 
Mtarasue fasta............................!:tape2:
 
Swali la kizushi, hivi ni kwanini hakuna mwanaume day?

Kwa sababu wanaume wana mchango kidogo sana katika jamii ndo maana huwezi kusikia kauli kama ukielimisha mwanaume........ au nani kama baba.....au mtu anasema baba yangu.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…