EXECUTIVEBwana pauls, Private matters are off Limit in politics, hakuna familia au mtu asiyekuwa na matatizo kwenye ndoa yake that is fact number one, pili usije kukuta wewe ndo worse zaidi kuliko Josephine, Kwani suala la uaminifu kwenye ndoa ni matatizo ambayo asilimia kubwa ya watanzania wanayo, Tatu ur not so sure with all facts kuwa what real transpared kumfanya amwache huyo bwana! hivyo kuna mengi yanasemwa lakini suala la msingi kwa nini yasemwe sasa? lengo la hao wanaoeneza mambo ya ndani ya mtu binafsi ambayo hayana TIJA kwa watanzania, ni nini lengo, kupotosha masuala ya msingi au kum disqualify Dr Slaa? kama ni hivyo hakuna raisi yeyote aliyepita na aliyepo madarakani ambao hawana scandal za kuwa na mahusiano ya kimapenza na watu ambao sio wake zao? acha kumhukumu binadamu mwenzako kwani nawe utahukumiwa! hii issue ni upuuzi mtupu kufatilia maisha binafsi ya mtu! Tukianza kushabikia mambo haya viongozi wote wachafuka vibaya sana! hivyo tujikite kujadili mstakabali wa nchi yetu sio mambo ya josephine as a person and her weakness
Yesu aliwaambia wale makuhani na watu mbalimbali waliyemletea yule mama aliyezini kuwa sheria inasema apigwe mawe mpaka mauti impate, lakini bwana YESU hakuhukumu alicho waambiia ambaye anajiona kuwa yeye hana hatia awe wa kwanza kuinua jiwe na kumpiga lakini baada ya mda mchache kila aliyekuwepo alijipeleza na kugundua hata yeye ana hatia mbele za mungu! Tujipeleleze kabla ya kuhukumu wengine na tuuache unafki,
Acha uwongo wako na huyo Mungu wako. Ungekuwa kweli unataka faraja ya moyo usingethubutu kwenda Dodoma Kinyemera kumfuata Slaa huku ukiaga familia yako kuwa unaenda kikazi!. Wala usingewaacha wanao nyumbani na kwenda kujirusha na Slaa kule Mtongani na baadaye kurudi kwa mmeo. Umetenda dhambi kubwa sana. NInachojua mimi na huko nako ulikoenda faraja itakuishia muda si mrefu utaitafuta pengine. Shauri yako na kesha ukiomba.
Mkuu malalamiko yako yamesikika, labda tu nikwambie hawa wagombea kazi yao ni kunadi sera kwa maana ya kujisifia na kuchafua mwenzako kisha kuwaachia wapiga kura waamue,Bwana Kanyafu Nkanwa, Private matters are off Limit in politics, hakuna familia au mtu asiyekuwa na matatizo kwenye ndoa yake that is fact number one, pili usije kukuta wewe ndo worse zaidi kuliko Josephine, Kwani suala la uaminifu kwenye ndoa ni matatizo ambayo asilimia kubwa ya watanzania wanayo, Tatu ur not so sure with all facts kuwa what real transpared kumfanya amwache huyo bwana! hivyo kuna mengi yanasemwa lakini suala la msingi kwa nini yasemwe sasa? lengo la hao wanaoeneza mambo ya ndani ya mtu binafsi ambayo hayana TIJA kwa watanzania, ni nini lengo, kupotosha masuala ya msingi au kum disqualify Dr Slaa? kama ni hivyo hakuna raisi yeyote aliyepita na aliyepo madarakani ambao hawana scandal za kuwa na mahusiano ya kimapenza na watu ambao sio wake zao? acha kumhukumu binadamu mwenzako kwani nawe utahukumiwa! hii issue ni upuuzi mtupu kufatilia maisha binafsi ya mtu! Tukianza kushabikia mambo haya viongozi wote wachafuka vibaya sana! hivyo tujikite kujadili mstakabali wa nchi yetu sio mambo ya josephine as a person and her weakness
Yesu aliwaambia wale makuhani na watu mbalimbali waliyemletea yule mama aliyezini kuwa sheria inasema apigwe mawe mpaka mauti impate, lakini bwana YESU hakuhukumu alicho waambiia ambaye anajiona kuwa yeye hana hatia awe wa kwanza kuinua jiwe na kumpiga lakini baada ya mda mchache kila aliyekuwepo alijipeleza na kugundua hata yeye ana hatia mbele za mungu! Tujipeleleze kabla ya kuhukumu wengine na tuuache unafki, WEWE KANYAFU UNA USHAHIDI GANI NA HAYO YOTE YALIYOANDIKWA KWENYE MAGAZETI YANAYOTETEA UFISADI? KWANI HABARI YOYOTE INATAKIWA KUWA FAIR AND BALANCE KWA KUPATA UKWELI WA PANDE ZOTE MBILI, NA HILO LINAONYESHA KUWA MAFISADI WANATUMIA MACHINE ZAO ZA PESA N AVITISHO KUTAKA KULETA MAMBO YASIYOTUSAIDIA SISI WATANZANIA NA HILO TULILITEGEMEA KWANI SIO MARA YA KWANZA KWA MAFISADI KUFANYA CHARACTER ASSASINATION KWA WAPINZANI WAO TULISHUHUDIA DR SALIM AHMED SALIMU ALIVYOCHAFULIWA KWENYE KAMPENI ZA MWAKA 2005 NA MAZEZETA KAMA WEWE USIYEWEZA KUTUMIA AKILI ZAKO KUPAMBANUA NDO MLICHAGUA JK NA LEO NDO NCHI IKO NJIA PANDA, HIVI WEWE HUNA MATATIZO YAKO NA FAMILIA YAKO, NA JE MATATIZO YA FAMILIA YAKO YANATUHUSU NINI SISI AU YANA TIJA GANI KWETU?
MKAPA ALITENGANA NA ANNA MKAPA NA BAADAE ANNA MKAPA ALIZAA NA BASIL MRAMBA LAKINI MKAPA ALIMRUDIA ANNA MKAPA KWASABABU ALITAKA KUGOMBEA URAISI NA HIYO NI PERSONAL MATTERS YA MKAPA NA HAIKUWA ISSUE KWATU SISI, HALI KADHALIKA MZEE MWINYI KUOA KIBINTI CHA JAGWANI SECONDAY SCHOOL WAKATI ULE HAIKUWA ISSUE NI PERSONAL AND PRIVATE MATTERS, HALI KADHALIKA JK NA NYUMBA NDOGO LUKUKI THAT IS PRIVATE MATTERS NA NI PERSONAL ISSUE HAZINA MASLAHI WALA TIJA KWA TAIFA, PLS BACK OFF NA UJIPELELEZE KWANZA WEWE KABLA YA KUMYOOSHEA KIDOLE JOSEPHINE
paulss una uhakika gani na habari uliyoisoma, ina maana hujui gazeti lililotoa linamilikiwa na nani au hujui kuwa hiki ni kipindi cha kampeni na hujui malengo ya habari hiyo ni yepi. Kama hujui nitakubaliana na maoni yako lakini kama unajua basi wewe ni mmoja wa wanaotaka kueneza habari hiyo na siwezi kukuzuia.EXECUTIVE
kusema tu hizi ni private matters hivyo ziachwe haitoshi.lazima ukubali hapa Dr kachafuliwa anahitaji kujisafisha kwa mpiga kura, mimi na wewe tunaweza kukubaliana ni private matters lakini mpiga kura ameambiwa Dr hafai sababu ni mwizi wa wake za watu, na kwa taarifa yako nchi hii kuwa na vimada hata mia sio issue kabisa, lakini kuiba mke wa mtu ni issue kubwa, ndio maana kila anaye changia anasema nani msafi mbona Jk anavimada nk, lakini haiwi issue kama ya kuiba mke wa mtu
kwa lugha nyingine ni lazima Dr ajibu hili kuwaridhisha wapiga kura
NA MUNGU ATAFUNGUA NJIA NITAMTUNZA MUME WANGU MPYA ILI UMAKINI NA HEKIMA ZAKE ZILETE UKOMBOZI KWA WATANZANIA WOTE.
Hili neno mume unalitumia kwa tafsiri ipi?
mume wako kidini? kiserikali? kitamaduni?
Mkuu nimeipenda hii post yako imetuliaNdugu wanaJF,kwa wanaojua maisha ya ndoa,watakubaliana na mimi ndoa ni ya watu wawili ndoa haielezewi mahali pa wazi,ndoa ni ndani ya chumba chenu,watu wengi wamehukumu hasa wanapotazama maadili ya ndoa za kikristo
kukumbusha tu, ndoa yako iliacha kuwa ya watu wawili baada ya kwenda kuishudisha kanisani mbele ya kiongozi wa dini, ndugu, jamaa na marafiki.
Ndoa ya Slaa iliacha kuwa ni ya watu wawili baada ya kwenda kuinadi mbele ya kadamnasi, hatua iliyochukuliwa kuwa ni kibali kwa watu kuidodosa ndoa yake hiyo (kama kweli tunaweza kuiita ndoa)
mimi ni mkristu na nimejifunza Biblia vizuri,Lakini ni biblia hiyohiyo imetoa ruhusa kuwa ndoa inaweza kuvunjika kwa sababu ya msingi sana.
kimsingi biblia inaruhusu ndoa kuvunjika panapotokea tendo la zinaa kati ya mmoja wa wana ndoa........tunaweza kukubali maneno yako kuwa mmoja wenu aliingia kwenye zinaa lakini ungetoa usaidizi mzuri kama ungeeleza kutenguliwa kwa ndoa hiyo kule kule ilikofungwa......yaani kanisani.
kwa sababu bila ya kufanya hivyo, wananchi tunaendelea kuamini kuwa wewe uko ndani ya ndoa.
Nilikuwa na Uhuru kumpenda mtu aliyenipa amani na faraja.Na sikuwanasababu ya kujifunga katika shimo lisilokuwa na matumaini hati kwasababu ya ahadi au kiapo.Ni watu wangapi wamepoteza maisha sababu ya kuishi ndani ya viapo visivyo na matumaini?
fair enough. kila mmoja ana uhuru wa kumpenda yule amtakae.
shaka inakuja unaposema kuwa 'huwezi kujifunga ATI kwa sababu ya ahadi au kiapo'. Ukimaanisha kuwa ahadi au kiapo ni jambo dogo sana ambalo sio suala la kuzingatiwa.
Wewe kama wewe pia hakuna shaka kubwa, wananchi hatujali usipokuwa mtu wa kutimiza ahadi na viapo vyako. Lakini shaka kwa wapiga kura inakuja kuona mtu anaeweza kuwa rais wao hivi karibuni anaunga mkono vitendo vya kudharau ahadi na viapo.
Ahadi ni ahadi tu, ikiwa ndogo au kubwa. asiyeweza kutimiza ahadi na kuheshimu kiapo kidogo tunauhakika wa yeye kuweza kuheshimu viapo vitakavyohusiana na taifa?
NA MUNGU ATAFUNGUA NJIA NITAMTUNZA MUME WANGU MPYA ILI UMAKINI NA HEKIMA ZAKE ZILETE UKOMBOZI KWA WATANZANIA WOTE.
Hili neno mume unalitumia kwa tafsiri ipi?
mume wako kidini? kiserikali? kitamaduni?
Sio Shy na Chi tu. Kuna Betty,Nyamubi,Simba....
Hivi baba yake na babu yako alioa au hakuoa je alifunga ndoa gani, ukijibu hili nafikiri huna haja ya kuuliza.Hili neno mume unalitumia kwa tafsiri ipi? [/COLOR][/SIZE][/FONT]
mume wako kidini? kiserikali? kitamaduni?
========Hivi baba yake na babu yako alioa au hakuoa je alifunga ndoa gani, ukijibu hili nafikiri huna haja ya kuuliza.
mkuu ndio maana nikasema Dr kachafuliwa anahitaji kujisafisha kwa wapiga kura, habari ya Anna mkapa wao wanajua walivyo ihandle ikasha na ukumbuke wakati huo vyombo vya habari viliminywa kidogo sio kama sasa Jk kaviachia viandike tu,paulss una uhakika gani na habari uliyoisoma, ina maana hujui gazeti lililotoa linamilikiwa na nani au hujui kuwa hiki ni kipindi cha kampeni na hujui malengo ya habari hiyo ni yepi. Kama hujui nitakubaliana na maoni yako lakini kama unajua basi wewe ni mmoja wa wanaotaka kueneza habari hiyo na siwezi kukuzuia.
Kama unasema vimada si issue kwa JK utatuambia nini Kwa mke wa Mkapa Anna, mbona Mkapa alinyang'anya mke wa Mramba kwa ajili tu ya kupata urais. Hii yote unayoiona ni kiwewe cha CCM kukosa kitu cha msingi kumkosoa Slaa hawana wamebakiza udini na ndoa za watu kitu ambacho hakitawasaidia kamwe badala ya kumchafua wanamjengea publicity na sympathy ya bure kwa watu wa vijijini unaowasema walikuwa hawamjui.
Karibu,Na ndiyomaana nimejiweka wazi.nimejifunza mengi kwa kuwa huru na muwazi,Sipendi kuwa mtumwa wa maisha yangu mwenyewe.Mimi ni mke wa kiongozi na si kiongozi kama sitakuwa huru sitaweza kumtia moyo mwenzangu.Naelewa mengi yanakuja maisha yangu hayatakuwa siri tena.
mkuu hii dunia nyingine tofauti na dunia ya baba wa bau yako,Hivi baba yake na babu yako alioa au hakuoa je alifunga ndoa gani, ukijibu hili nafikiri huna haja ya kuuliza.
Acheni kuchimba vijimambo visivyo na misingi yoyote mnaleta definitions za kizungu ambazo hazitusaidii sisi, watanzania tuna mila na desturi zetu hatufuati za kidhungu mambo ya girlfriend/boyfriend na fiancee nk. Wamasai wanachumbia mtoto akiwa tumboni napo mtahoji, wasukuma walikuwa wanachagua ngomani siku hiyo hiyo anakuwa mke, haya mambo mengine yamekuja siku hizi tu.Nikikumbuka vizuri Josephine ametambulishwa kama mchumba na kwamba wanatarajia kufunga ndoa, sasa hili la mume wangu linakuwaje??!!!
one of the greater thinker. umefikisha miaka kumi nane kweli wewe? utumbo gani huu unaandika humu========
Quinine
Unajua wengine humu wangetamani Dr. Slaa achukue wake zao. Hilo ndilo linawauma na kupiga kelele tunazosikia. Hakuna hata mtu mmoja ndani ya CCM anayeweza kunyosha kidole kwa Dr. Slaa. Ndiyo maana wamewaachia akina Kulangwa kuendeleza udaku huu. Siku moja Kulangwa atakuja anapiga kelele kachukuliwa mkewe na Mkuchika! Mtakuja kuona.
wangapi hapa wanaitwa mme na vimada tu acheni hizo?
Ndoa ya Josephine unaijua vipi au ile kuisoma kwenye magazeti ndiyo inakufanya uwe mjuzi wa ndoa yao je umefuatilia wametoka wapi na walianza lini, kwa nini hamjiulizi vitu vyepesi vyepesi kama hivyo, na je unajuaje mila na desturi za kimbulu kama ukishatoa kishika uchumba achilia mbali mahari ndiyo ameshakuwa mke wako au unataka kulazimisha mambo ya kizungu lazima uone matarumbeta ndio ujue hao ni mme na mke?mkuu hii dunia nyingine tofauti na dunia ya baba wa bau yako,
hata hivyo walifunga ndo za kimila sio ka hii ya josephine