Mke sura mbaya

Mke sura mbaya

mwl

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2011
Posts
1,101
Reaction score
914
Mke alimwambia mumewe azibe dirisha la chooni kwa kuogopea wanaume wasije wakamchungulia anapooga. Mume akamjibu liache tu wao wenyewe ndio watakao gharamika kuliziba.
 
Back
Top Bottom