Bado bado.. Katika hatua za Ndoa hapo ndio mpo katika mwisho Wa hatua ya kwanza.. Hatua ambayo mnakua na Mapenzi ya Motoooo.. Hilo Ni tera, Picha Linafata Hatua ya Pili... Utajutaaaa
Nina 14 years ndani ya ndoa and it has been so SWEET....Najua vijana wengi wanapokosea ni kwenye mchakato wa kupata huyo mke. Kwa mjibu wa Biblia Procedure ya kuoa/kuolewa ni hivi:
1. Mtu atampenda Mke....Utampenda huyo unayemtarajia.
2. Atawaach wazazi... Utapata kibali toka kwa wazazi wa huyo mtarajiwa, ikiwa ni pamoja na kukamilisha taratibu za kijamii Mf Mahari, Sherehe, etc
3. Ataambatana na Mkewe.... Utaanza naye indepenednt life (Kama mme & Mke)
4. Watakuwa Mwili mmoja.....Utajamiiana naye for all biological purposes (Enjoyment..., Reproduction..., & Other physiological needs).
Vijana wengi leo wanafanya kinyume na utaratibu wa MUNGU hapo juu. Wanaanza na namber 4, 3, 2, 1... Matokeo yake ndo hayo.... Ndoa ndoana.
Mie aaaaahhh na mke wangu, tulifanya ndoa simple kijijini, tukaja hapa twn (DSM), tukawa wapole. Mungu bado ameshikilia. Tunazidi kumwomba Atupe miaka mingine 14....
:majani7::majani7::majani7::majani7::majani7::majani7::majani7::majani7::majani7::majani7::majani7::majani7::majani7::majani7::majani7::majani7::majani7::majani7::majani7::majani7::majani7::majani7::majani7::majani7: